MultiChoice Tanzania imemteua Nehemiah Kyando Mchechu kuwa mkuu wa bodi ya wakurugenzi uteuzi ulioanza rasmi Agosti 1, 2022
Multichoice wamesema wana imani kubwa na uwezo na uzoefu wake uliomfanya kuwa moja ya wakurugenzi mahiri hapa nchini.
Pia, soma=> BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya...
Timu ya Mawasialiano ya Rais Mteule imezuia vyombo vya habari vya nchini humo kurusha hafla ya kuapishwa kwa William Ruto na kutoa haki za kipekee za utangazaji kwa Multichoice Kenya Ltd.
Tangazo hilo limepokelewa kwa hisia tofauti na wanahabari wa ndani na mashirika ya habari, huku gazeti la...
Tafadhali tuwekane sawa, DStv haijihusishi na kurusha maudhui yasiyofaa katika jamii. Malalamiko haya yanatakiwa kupelekwa moja kwa moja kwenye channel husika. DStv wanarusha channels tofauti, sio kosa lao pale yanapotokea mambo ambayo yanahusiana na maudhui mabaya.
Kinachotakiwa kufanyika...
TCRA Please take note.
Kuna ujumbe wa malalamiko kuwa kuna vipindi wanavyovipenda watoto vya NICKELODEON, vinavyorushwa na DsTV, vimeleta taharuki kwa wazazi.
TCRA kama mhusika tafadhali chukua hatua.
Ujumbe:
Dear Parents/Guardians.
This is to bring to your notice that the cartoon channel...
Wakati tozo za benki zikiwa bado moto, tozo za ving'amuzi inaanza rasmi Septemba 1 kwa Dstv kutangaza gharama mpya ya vifurushi. Hakika hatupumui.
PIA SOMA
- BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi
---
DStv Wapinga na kutoa...
Kupitia ukurasa rasmi wa Dstv huko Instagram, wananchi wengi ambao ni wateja wa Dstv wameomba kupunguziwa gharama hasa kwenye vifurushi kutokana na ukali wa maisha.
Wengine wakaenda nbali zaidi, kuwa wanatumia king'amuzi cha Canal hivyo hawako tayari kunyonywa na gharama kubwa za Dstv.
Wakati...
Habari wana JF,
Hivi kwanini Orijino comedy dstv haina wafuatiliaji wengi ,Shida ni nini?
Kukosekana kwa Joti? Muda uliowekwe kwa ajili ya hicho kipindi?
Kwa kifupi hata viewers wa clips zao kwenye mitandao ni wachache shida nini?
Maana waigizaji wapo tena wazuri, kwa mnao fuatilia shida ni...
Jana kwenye bajeti iliyopendekezwa na Serikali, wamependekeza tozo ya shilingi 1000-3000 kwenye ving'amuzi kulingana na kifurushi mtu ananunua. Serikali tayari inakusanya kodi kwenye haya makampuni na pia inakusanya VAT kila mteja anaponunua king'amuzi au kifurushi, kumuongezea tozo itakuwa...
Wakuu kuuliza Sio Ujinga
.
Niliwahi sikia kupitia Kwa Waziri Mmoja akijinasibu Kwamba local Channel Zote za Tz zimerudishwa kwenye Decoder ya DStv.
.
Na Hata Kama Kifurushi chako kikiisha zile local channels zinaendelea kuonekana.
.
Lakini Cha ajabu kifurushi chako Cha DStv kikiisha na kama...
Huenda mimi ndio sielewi basi nielimishwe, lakini kwa upeo wangu mdogo ninavyojua mimi hizo channel ITV, eatv, clouds na channel ten ni FTA channels sasa inakuwaje kifurushi cha Dstv kikiishia wanakuachia Tbc peke yake?
Mimi nina king'amuzi pia cha Star times hawa air time ikikuishia free...
Habari waungwana..... Huu ndiyo muda muafaka wa kuwahama azam na kwenda kwenye full hd DSTV maana kifurushi cha Azam cha bei ya juu TSH 35,000 channel zake hazifikii kifurushi cha DSTV cha TSH 21,000.
Kwaherini Azam mlinifaa Sana kwa kipindi nilichokuwa nanyi na huu ndiyo muda rasmi wa...
Salaam WanaJF!
Hivi hawa jamaa wa DSTV (Multichoice) wanatuchukuliaje Watanzania!? Kwamba wanatuchukulia tupo vizuri sana kiuchumi, ama wanatuchukulia sisi washamba sana au inakuwaje!?
Kila siku wanafanya kuzichezesha chaneli zao ndani ya DSTV, sio kitu cha ajabu kukuta chaneli yako pendwa...
Kwa gharama za vifurushi vyao kuacha kuonesha mechi kali kama
za leo(kutoka Afrika) za kufuzu world cup ni kutothamini wateja.
Congo vs Morroco
Cameroon vs Algeria
Ghana vs Nigeria
Mechi kama hizi hamuoneshi mnabaki kuonesha mi mbio ya baiskeli, jirekebisheni.
Naona Western Bloc wanataka kubaki peke yao wanapiga propaganda vita ya Urusi na Ukraine ambapo Multichoice Afrika maarufu kwa kisimbusi chake cha DSTV imeiondoa chaneli ya Urusi ya Russia Today(RT) ambapo kwenye tamko lake wakisema hatua hiyo wamelazimika kuichukua kutokana na vikwazo...
Wapenda bure kilio chetu kimesikika na hatimaye chanel za ndani zimeanza kupatikana/kuonekana bila kujali una kifurushi au la.
Mimi kwangu nabadili tu chanel mara clouds sijakaa sawa chanel ten kidogo eatv nk
Nipeni mrejesho Wapenda bure wenzangu
Uzi tayari
Kichwa cha habari kinajieleza, nchi nyingine wanaruhusu kulipia kwa match ama kuchagua movie unayotaka unalipia, ama pay per View, why not do the same ?
Nawasilisha
-----‐--------
Hawa DSTV tatizo lao wanataka faida kubwa kwa haraka, wenzao AZAM TV japokuwa hawaweki pesa kubwa lakini wana...
Nimeona kama Gotv ina ufanano sana na Dstv, je ni ipi tofauti ya visimbuzi hivi viwili? Naona sana Gotv ipo kenya, uganda, Nigeria nk
Swali la nyongeza, mbona Gotv haipo Tanzania?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.