Hawa jamaa wanaweza kukuwekea movie ya aina moja wakawa wanairudia rudia kwenye chaneli zao feki za movies.
Kila ukifungua chaneli yao ya movie unakutana na movie ulio iona jana
Wajanja sana hawa jamaa😂
Tunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo asiwakere waliompa tender.
Pole sana Azam, nia yako ni njema ila waliokupa kazi hawathamini jasho lako.
Uki stream DSTV HUWA HAINA TABIA YA KUSTUCK unakuta unatumia 4G speed ambayo una stream either kwa App au kwenye website kwa DSTV unachagua Highest Resolution na hai stuck.
But Azam Max au ukitumia website inakuwa na changamoto sana. Haipo smooth. Ina stuck sana. Iwe kwa simu au kwa laptop...
Mimi ni miongoni wa wakereketwa kutokana na hizi simu za marketing za DSTV. Wamekuja na njia mpya ya kupigia watu simu kwa namba tofauti tofauti binafsi. Kama mtu hajalipia kifurishi kwa muda mrefu lazima ana sababu binafsi na kama ana shida pia atawatafuta kwa namba zenu za mawasiliano ya...
Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate package ya mteja ?
Kuna offer flani mlipitisha kipindii cha miezi kadhaa nyuma mliita "Panda...
Mtaani mchuano wa DStv na AzamTv ni Mkali sana.
DStv katika kuendana na kasi ya AzamTv ameamua kuachia ofa chaneli zote bure hata kama hujalipia kuanzia jana Desemba 27 mpaka kesho Desemba 29.
Siku za karibuni DStv amekuwa akipungukiwa na wateja hii ni baada ya AzamTv kuliteka soko la ndani...
Habar za wakat huu mabibi na mabwana, naomba kujitika kweny mada husika kama kichwa cha habar kinavojieleza.
Nimekuwa mtumiaji mzuri na wamda mrefu wa application ya Dstv now mpka sasa ilipobadilishwa na kuitwa Dstv stream miaka yote ilikuwa the best upande wa iptv kwa sababu ya ulaji mzuri wa...
Tunauza na kusambaza kisimbuzi Cha Azamtv, DSTV, Startimes na Zuku.
Na accessories mbalimbali:
#Remote control, #Antenna Cable
#HDMI ( mita moja Hadi 20)
#LNB #TVstand, n.k
Pia tunatoa huduma ya ufundi wa TV, kufunga dish, kufunga TV units.
Tupo Makumbusho na Kimara, Dar es salaam.
+255756126081
ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACC.. INA CHANNEL ZOTE ZA DSTV ZA MICHEZO, BURUDANI, HABARI, MUSIC.. SUPER SPORT ZOTE LIVE.. KAMA UNA INTERNET NYUMBANI AU OFISINI HAUNA HAJA YA DIKODA WALA MALIPO YA MWISHO WA MWEZI.. channel zaid ya 9000+
PIA KUNA MOVIE ZOTE NA SERIES ZOTE FULL HD MPAKA 4K RESOLUTION...
Hatimae DStv wamepata haki za kuonyesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na zile za Shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025.
Hii itakuwa nafuu kwa wateja wa DStv waliokuwa wanakosa uhondo huo mpaka waende Vibanda umiza.
DStv anaungana na Azam Tv pamoja na SABC kuwa vituo vyenye haki ya kurusha...
DSTV will die the same death as Nokia, Compaq, Kodak, and GM if they fail to change with changing times. More users are opting to streaming live matches as internet connectivity becomes faster, more affordable, and accessible. They have refused to lower their prices and innovate.
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kesi ya madai ya mwanamuziki Lameck Ditto dhidi ya Kampuni ya Multchoice Tanzania Limited maarufu DStv, uamuzi ambao haujaacha kicheko kwa mlalamikaji.
Ditto ambaye jina lake halisi ni Dotto Bwakeya alifungua kesi ya madai mahakamani hapo...
Binafsi mimi ni mzalendo na nnapenda sana kufuatilia tamthilia za hapa bongo mara moja moja pindi nkipata nafasi nkiwa home,
Kuna hii Huba series inayorushwa DSTV (Maisha Magic bongo) ni ya muda mrefu sana, na imepewa airtime week nzima kuanzia J3 - Ijumaa, Hii series mwanzoni iliteka sana...