NICHUKUE IPI KATI YA NISSAN MURANO, DUALIS NA XTRAIL?
Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari
1. Nissan Murano
Injini bora ya hii ni ile yenye Cc 2500 inayokadiriwa kwenda Km 10.6/L. Katika safari ndefu hii inasifika kufanya vizuri zaidi ya hizo nyingine sababu ina uzito mkubwa wa tani...
Habari wakuu, nina Nissan Dualis ya 2010. Pindi ukikata kona inakuwa inagonga.
Wiki iliyopita nilikagua CV Rubber boot na mojawapo ikawa imekatika. Nikaenda kwa fundi akaisafisha CV joint na kuweka rubber mpya.
Ndani ya siku mbili ule mlio haukuwepo, ila sasa umerudi tena na hakuna rubber...
Picha: Nissan Dualis
Wakuu nianze kwa kuwasalimu na kuendelea kukumbushana pia kuhusu namna ya kujikinga na hili gonjwa la sasa.. Corona
Naomba nije kwenye topic kuu sasa.
Nimekuwa nikitamani sana kumiliki gari lililo juu juu (wenyewe wanaita SUV), kutokana na mazingira niliyopo, gari la...
Heshima kwenu wakuu.
Wiki iliyopita niliamua kuifanyia nissan dualis majaribio ya mbio barabarani.( nilikua natafuta ligi kwa udi na uvumba)
Nilitenga hela ya faini 150,000.00 kwa safari ya kutoka Dsm to Singida. Ilipigwa 100,000 nikabaki na 50,000.
Nilianza ligi na Vanguard, crown, subaru...
Wakuu tukienda moja kwa moja kwenye mada, nipo kwenye mchakato wa kubadili kababy walker kangu hivyo basi katika pita pita zangu huku na kule mtandaoni nikakutana na huyu mnyama anaitwa Nissan Dualis na akanivutia sana.
Kwa hiyo nilikuwa naomba ushauri wenu kuhusu hiyo gari. Kuanzia kwenye...
Habari wakuu.
Ninatarajia kuchukua Nissan Dualis. Napenda kujua ni oil zipi (Brand na vipimo) na ni gereji ipi kwa hapa Dar es Salaam wana mafundi wazuri wa Nissan?
Pia kuna uzi niliusoma unasema oil ya engine inabidi iwe 5w 30, je kuna ukweli kuhusu hilo?
Na oil ya transmission, gearbox oil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.