Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
Dubai Ports World (DP World) ni kampuni ya kimataifa ya usimamizi wa bandari na kuwezesha biashara iliyo na makao yake makuu huko Dubai, Falme za Kiarabu (UAE). Ni mmoja wa waendeshaji wakubwa wa bandari duniani na inasimamia mtandao wa bandari za baharini na ndani katika zaidi ya nchi 45 kwenye...
Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari
Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi
Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna
Sasa Leo anakuja mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.