dume

Dume is a former freguesia ("civil parish") and former bishopric in the municipality of Braga, northern Portugal, which remains a Catholic titular see.
In 2013, the parish merged into the new parish Real, Dume e Semelhe. It has a population of 3 081 inhabitants and a total area of 4.34 km2.

View More On Wikipedia.org
  1. UWAZI: Mfalme Charles III wa Uingereza kutibiwa tezi dume wiki ijayo

    Mfalme Charles III wa Uingereza anatarajiwa kupatiwa matibabu ya tezi dume wiki ijayo. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la BBC, Jumba la kifalme la Buckingham limesema leo Januari 17, 2024 kuwa Mfalme atapitia "utaratibu wa marekebisho". Shughuli za kijamii za mzee huyo wa miaka 75 kwa...
  2. D

    CEO wa Open AI ambayo inamiliki Chat GPT kaolewa na dume jenzake

    Dunia iko kasi kweli. Sam Altman ambaye ni CEO wa open AI kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni dume mwenzake. Sam ambaye katika mahojiano fulani alisema wazo la Chagpt alilipata akiwa kwenye msongo wa mawazo wa kuachwa na boyfriend wake wa awali ambaye alidhani atamuoa. Haya mambo haya baada ya...
  3. B

    Undumila kuwili wa wamaagharibi mgogoro Gaza, Putin Dume!

    Tatizo lilopo Palestina ni la muda mrefu kutokea kwenye unyakuzi wa maeneo yaliyokuwa ya wapalestina kufanywa taifa la Israel. Pia unyakuzi wa maeno zaidi ulioendelea kufuatia vita mbali baina yao 1967 na 1973. Duniani kote watu wanaandamana kupinga ulipizaji kisasi wa Israel kwa wapalestina...
  4. Hivi ni kwanini Rappers wa kike wa Mbele "mamtoni" wengi ni pisikali halafu huku kwetu Rappers wa kike wanajifanya ni majike dume?

    Kwema Wakuu! Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja. Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa. Wanamapozi ya kike, wanajichetua...
  5. S

    CHADEMA msilete longolongo - Dai dume ni KATIBA mpya na Tume Mpya ya Uchaguzi

    Nina wasiwasi na hawa CHADEMA kuwa ni tawi la CCM ,ukiangalia kwa undani utaona wananchi tumehamishiwa kwenye bandari,mbuga na mambo mengi ambayo mwisho wa siku tunapigwa na kufungwa bao la kisigino. Bila ya madai dume ya kudai katiba mpya na tume mpya iliyo huru ya uchaguzi itakuwa haya...
  6. Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

    WANAWAKE HAWAPENDI KUULIZWA MASWALI, WEE FANYA TUU; WATAKUONA WEWE NDIYE DUME. Anaandika, Robert Heriel. Taikon Master. Kuuliza uliza maswali ni dalili ya kutokujiamini, Wakati Wanawake wanataka mwanaume anayejiamini. Kutokujua nini unafanya, Wakati Wanawake wanataka wanaume wajuvi na waalimu...
  7. J

    Ng'ombe dume 600 wanauzwa

    Habari, Napenda kuwatangazia wafanyabiashara wa ng'ombe kuwa kuna ng'ombe 600 wote ni dume wanauzwa, kwa wahitaji karibuni. Location ni Tanga Mjini chuo cha Buhuri. Bei ni maelewano. Tunauza kwa KG in terms of Live weight or Carcas Weight sio bargaining Mawasiliano ni 0768625199 Karibu sana.
  8. Kwa hili la katiba mpya rais Samia atalamba dume

    Kwa wacheza karata wanafahamu faida za kulamaba dume na athari za kulamba garasa, nami napenda kumpa wosia Rais Samia Suluhu Hassan kwamba kama atafanikisha upatikanaji wa Katiba mpya, basi atakuwa amelamba dume. Unapocheza karata ukalamba magarasa lazima upate maumivu ya kiakili na...
  9. Nataka nifuge kondoo dume na mbuzi mkoa wa Tanga

    Habari Wana JF! Nataka nianzishe mradi wa kufuga kondoo dume pamoja na mbuzi dume kwa mkoa wa Tanga, ningependa kujua eneo zuri likiwa karibu na mjini itapendeza zaidi.. na mbinu na je italipa au.
  10. Mbwa wanaponatana wakijamiiana tatizo huwa kwa jike au kwa dume?

    Ningependa kujua mechanism inayosababisha wanatane. Asante
  11. M

    Mwanaume akamatwa akishiriki mashindano ya CHESS kama mwanamke

    Hii imetokea nchini Kenya. Dume limejifunika vazi la dini fulani ambalo kwa kawaida huvaliwa na wanawake, na likashiriki mashindano ya Chess kwa wanawake!! Kwa bahati mbaya kwake wakalishtukia!! Male chess player caught competing as woman The Kenyan man wore a hijab and signed up for the female...
  12. T

    Utabiri wakutisha ktk mbuga za Serengeti Kifo cha Simba dume Bob Junior

    Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba Bob Junior ama kwa hakika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea. Mimi nataka kuwaambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex. Ktk mbuga ya Serengeti...
  13. Kwenye mfumo dume hakuna kitu kinaitwa Ushoga

    KWENYE MFUMO DUME HAKUNA KITU INAITWA USHOGA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Nimeona andiko la Kaka Mshana Jr akionesha masikitiko yake kuhusu janga la ushoga ambalo kwa kiasi linaongezeka hapa nchini. Nikaona nami niseme KITU. Familia, koo, makabila na mataifa yanayoendekeza mfumo dume...
  14. M

    Dume la bata mzinga linakula mayai

    Wadau, msaada tafadhali, Nilinunua Bata mzinga siku za nyuma. Kama wiki mbili zilizopita Bata jike alianza kutaga na kufikisha mayai 6. Baada ya muda nikakuta yamepungua 2. Nikawa na wasiwasi kuwa dume anakula mayai. Nilichofanya nikatoa mayai yaliyokuwa yamebaki. Akitaga tu natoa yai...
  15. L

    Nauza nguruwe dume niko Dodoma

    Habari wanajamvi Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana maeneo ya Ntyuka Dodoma. Nauza dume kubwa kabisa kwa mahitaji ya kufuga au Kuchinja Umri: mwaka mmoja Aina: largewhite *landrace Mawasiliano: 0672493720/ 0717201982
  16. Maisha ya mdudu (vunjachungu dume) si ya thamani tena kwa jike baada tu ya kujamiiana

    Ni kwamba karibu robo ya matukio ambapo vunja chungu dume anapomkaribia jike basi huliwa. Na nyakati hatari zaidi kwa dume ni wakati wa tendo la kupandana. Wanapomaliza, ikiwa itatokea dume litaponea kuliwa, basi dume huanguka tu kwa kuishiwa nguvu kutoka kwa majike au huruka kabla...
  17. K

    CCM inayoongozwa na mwanamke bado ina mfumo dume

    Wakati napitia pitia orodha ya walioteuliwa kuwania nafasi mbalimbali za Chama Cha Mapinduzi, (CCM), ghafla nikakutana na nafasi mbili ambazo wagiombea wake ngazi ya wenyeviti ni wanaume watupu na nagazi ya Makamu Mwenyekiti ni wanawake watupu. Katika kutafakari endapo jambo hilo limetokea kwa...
  18. M

    Tunamalizia bonanza la utangulizi tukisubiria mechi ya kiume na kibabe. Utake ndiyo hivyo, ukatae itabaki kuwa hivyo!

    Tunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan. Hii timu ya Ihefu kutoka Angola hata ingekuwa imehaidiwa kupewa nchi yao peke yao hawawezi...
  19. Sakata la kifo cha katibu wa Masanja na kile alichotuachia

    SAKATA LA KIFO CHA KATIBU NA KILE ALICHOTUACHIA. Na Robert Heriel Ishu hii inasikitisha na kuhuzunisha mno. Ni tukio baya pia linalofedhehesha. Tukio la unyama na udhalilishaji uliovuka mipaka kuvua Utu WA Mtu. Unapozungumzia kutoka na Mke WA Mtu sio Jambo la mchezo. Kila mtu anajua Kwa...
  20. Je, ni kweli energy drinks zinachanganywa na ‘mbegu’ za dume la ng’ombe (Taurine)?

    Nasikia kuna kitu kinaitwa Taurine kinawekwa mule, ni kweli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…