dume

Dume is a former freguesia ("civil parish") and former bishopric in the municipality of Braga, northern Portugal, which remains a Catholic titular see.
In 2013, the parish merged into the new parish Real, Dume e Semelhe. It has a population of 3 081 inhabitants and a total area of 4.34 km2.

View More On Wikipedia.org
  1. Sanyambila

    Klabu ipi imelamba dume kati ya Simba SC na Yanga SC kwa mikataba hii?

    Hivi karibuni timu zetu kubwa hapa nchini zimeingia mikataba mipya na wadhamini wao Simba sc na MBET Yanga sc na SPORTPESA Hapa katikati kuliibuka fununu za simba kuachana na Sportpesa okabaki yanga na yanga alipo saini mkataba mpya watu walisema ni mkataba mnono saana wa billion 12 kwa miaka...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna kuwa katikati, ni aidha ufuate mfumo jike au Mfumo Dume

    Kwema Wakuu! Hapa Duniani ipo mifumo miwili tuu inayoongoza dunia. Hakuna mfumo wa kati. Ni aidha uchague Mfumo dume au uwe WA mfumo Dume. Ni fahari Kwa mwanamke kuchagua mfumo wowote, aidha achague mfumo jike au dume kwake vyote ni Faida. Tena akichagua mfumo dume ndio hupewa heshima na...
  3. Analogia Malenga

    Ummy Mwalimu: Wanaume acheni woga pimeni tezi dume, kuna vifaa vya kisasa

    TATIZO la saratani nchini limetajwa kuongezeka kwa kasi, ikibainishwa kuwapo wagonjwa wapya 42,060 kwa mwaka huku 28,610, sawa na asilimia 68 hufariki dunia kutokana na ugonjwa huo. Taarifa za mwaka 2021 za Taasisi ya Saratani Ocean Road zinaonyesha saratani zinazoongoza kwa wanaume ni tezi...
  4. John Haramba

    Wagonjwa wengi wa Saratani Tanzania ni wa Tezi Dume, koo

    Taarifa za mwaka 2021 kutoka kanzi data ya wagonjwa iliopo Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaonesha kuwa Saratani zinazoathiri wanaume zaidi ni: Saratani ya tezi dume“Prostate cancer” (21%), Saratani ya Koo (Esophageal Cancer) (11.8%),Saratani ya utumbo mkubwa na mdogo (9%) na Saratani ya...
  5. Mtondoli

    Neno 'mfumo dume' lisitumike vibaya kwa kuanza kuwabagaza wanaume na kutowapa heshima yao

    Wadau hili neno mfumo dume kwa hapa Tanzania tunapaswa kulifuta haraka ,.tukiendelea kulichekea ni muda mchache imebaki wanaume tutaanza kuandamana kupinga mfume jike. Kwa Sasa inaonekana sisi wanaume ni majitu ya hovyo na makatili sana. Hatupewi hata heshima ya asili tuliyopaswa kupewa,iwe...
  6. M

    Muhimbili tusaideni hili la dawa ya tezi dume

    Facebook kuna clip inayotangaza dawa ya kutibu tezi dume bila upasuaji wala vidonge. Tangazo linajinasibu ya kuwa dawa hiyo inatoka Muhimbili. Ukiangalia anayetangaza kavaa Tshirt yenye nembo zinazohusiana na serikali. Ukijaribu ku-chat ili kujua bei majibu yanakuwa si ya wazi sana. Kwakuwa...
  7. M

    Tuliambiwa kuwa Idi Amini alikuwa dikteta wa hatari

    Nashindwa kujizuia hili jamaa kuliita Dume na Mwamba wa Afrika Tuliambiwa kuwa Idi Amini alikuwa dicteta wa hatari, anakula watu, anakula damu za watu na mambo mengi yanayofanana na hayo lakini siku zinavyozidi kwenda inakuwa tofauti sana. Baba zetu na mama zetu walimuimba sana mashuleni...
  8. Nyuki Mdogo

    Tupeane maujanja jinsi ya kujiunga na bando la LAMBA DUME kutoka Tigo. 6GB kila baada ya wiki 2.

    wazee kwema? tupeane maujanja tupunguze ukali wa maisha ya mtandaoni.
  9. M

    Huenda Wabunge wengi wa CCM wakashindwa kurudi 2025 na upinzani ukalamba dume

    2020 Kulikuwa na upepo wa ajabu kwa wabunge wengi wa CCM kwani walibebwa kama watoto wachanga na JPM na Livingston Lusinde ni shahidi kwani yeye alisema kuwa kunawabunge hata kwa kuzikiri bila nguo wasinge rudi ila Magufuli aliwabeba na mbeleko. Taarifa nilizo zipata kutoka chanzo cha uhakika...
  10. Mseminary Robert

    SoC01 Jinsi dhana ya mfumo dume inavyowatafuna Wanaume

    JINSI DHANA YA MFUMO DUME INAVYOWATAFUNA WANAUME Wahenga walipata kusema kikulacho kinguoni mwako na hivi ndivyo ninavyoweza kuamua na kuhawilisha tafakuri yangu katika maisha ya mfumo tunaoutamania kuishi kwa kuzingatia kuwa binadamu wote ni sawa na tunapoutafuta usawa wa kijinsia ni kwamba...
  11. C

    Hofu imenitanda nahisi nina tezi dume

    Amani iwe kwenu . Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa muda mrefu nilikuwa nahisi hali yangu ya mfumo wa mkojo haiko sawa. Lakini kubwa ni kushindwa kujiziwia nikibanwa na haja ndogo. Mara nyingi nilikuwa nikienda hospitali niliambiwa nina mkojo mchafu( u.t.i) napewa dawa natumia napata nafuu...
  12. L

    Tiba ya tezi dume bila upasuaji inawezekana?

    Wakuu naomba kuelewa kwa yeyote anayejua au kushudia matibabu ya Tezi dume bila upasuaji na mgongwa kupona kabisa na hayo matibabu yanapatikana wapi? Nitafurahi zaidi kupata taarifa za matibabu ya kisayansi kwa maana ya yanaweza kuwa wanatumia aidha dawa za asili...
Back
Top Bottom