Wakuu, baada ya ubishi mkubwa kuhusu suala la Dunia kujizungusha kwenye muhimili wake kutawala humu JF na kote vijiweni secretarybird, niliamua kufanya utafiti, ili kuwaleteeni majibu sahihi juu ya sintofahamu hii, ili sote humu na vijiweni tuongee lugha Moja juu ya iwapo Dunia inajizungusha...