dunia ya kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam: China ni tegemeo kwa dunia ya Kusini kwenye mazingira ya mfumo wa uchumi usio wa haki

    Wakati dunia inaendelea kukabiliana na mabadiliko makubwa yanayotokea, mabadiliko ambayo yanaonekana kuvuruga mfumo wa usimamizi wa dunia ambao umekuwa ukifuatwa tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia, nchi za Afrika zinaonekana kuwekwa pembezoni zaidi kisiasa na kiuchumi. Nchi za Kaskazini...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Lengo la maendeleo la G20 laonyesha umuhimu wa mchango wa Dunia ya Kusini

    Mkutano wa kilele wa 19 wa Kundi la Nchi 20 (G20) umefanyika hivi karibuni mjini Rio de Jeneiro, Brazil. Rais wa China Xi Jinping amesema katika mkutano huo kwamba, China imetangaza uamuzi wa kuzipatia nchi zote zilizo nyuma kimaendeleo zenye uhusiano wa kibalozu na China huduma ya kuondoa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa "Dunia ya Kusini" kumeleta mabadiliko makubwa duniani na kuielekeza dunia kwenye mustakbali mzuri

    Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika utaratibu wa kimataifa. Nchi na mashirika ya kimataifa kutoka Kusini, kama vile China, India, Umoja wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ni matarajio ya pamoja ya dunia ya kusini kuona AU inakuwa mwanachama rasmi wa G20

    Mkutano wa 19 wa Viongozi wa kundi la nchi 20 (G20) umefanyika nchini Brazil, ambapo Umoja wa Afrika umeshiriki kwa mara ya kwanza kama mwanachama rasmi, na kuwa shirika la pili la kikanda baada ya Umoja wa Ulaya. Katika miaka ya hivi karibuni, nguvu ya dunia ya kusini inayowakilishwa na nchi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni kwa sababu gani BRICS inavutia sana Dunia ya Kusini?

    Mkutano wa kilele wa BRICS umefanyika kuanzia Oktoba 22 hadi 24 huko Kazan, nchini Russia, ukiwa ni wa kwanza baada ya kundi hilo kuongeza nchi wanachama, na hivyo kufuatiliwa sana na jamii ya kimataifa. Kundi la BRICS, ambalo ni kifupi cha majina ya nchi zinazoibuka kiuchumi na senye matarajio...
Back
Top Bottom