Mkutano wa kilele wa BRICS umefanyika kuanzia Oktoba 22 hadi 24 huko Kazan, nchini Russia, ukiwa ni wa kwanza baada ya kundi hilo kuongeza nchi wanachama, na hivyo kufuatiliwa sana na jamii ya kimataifa.
Kundi la BRICS, ambalo ni kifupi cha majina ya nchi zinazoibuka kiuchumi na senye matarajio...