Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.
Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado,
Dunia ya leo je inaelekea mwisho?
Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio...
Sura bandika zenye ready made makeup.. Hakuna haja ya kujipodoa tena. Tumeshakuwa na kila kitu cha bandia mpaka akili ya bandia sasa ipo. Inaitwa akili mnemba.
Maisha ya social networks yamejaa uhalisia bandia. Unachokiona mtandao ni sivyo kilivyo katika uhalisia wake
Saa nyingine...
👉Dunia ni mahali pazuri kutokana na watu wanaotaka kupaendeleza na kuwaongoza wengine.Kinachofanya iwe bora zaidi ni watu wanaoshiriki zawadi ya wakati wao kuwashauri viongozi wajao. Asante kwa kila mtu ambaye anajitahidi kukua na kusaidia wengine kukua.
👉Maisha ni safari, katika kila hatua...
Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo endelevu na ustawi wa jamii.
Tumeona nchi nyingi ambazo zilizopo afrika na zengine zikikabiliwa na...
Leo tuwache jazba, kejeli, matusi na ujinga. Hii kwa pande zote mbili, zinzoona DP World haifai na zinazoona DP World inafaaa tujadiliane kiustaarabu tuone "options " zetu ni zipi, zile zenye faida tuishauri serikali izifate, zile zisizo na faida tuishauri serikali isizifate.
Kama una jibu au...
Acha kuhamasisha mila za Kizungu za Uzinifu/ mahusiano ( girlfriend na boyfriend) kwa kuwa zinamdhalilisha mwanamke. Na kupitia huo Uzinifu ndipo Wazungu wakaja na mawazo ya kuwa mwanamke ajitafutie pesa ili asimtegemee mwanaume hivyo lengo na makusudi ni kuhakikisha Uzinifu unaendelea ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.