dunia

  1. J

    Mwanafunzi Umbwe boys afariki dunia akifanya mazoezi

    Mwanafunzi wa kidato cha tano, katika Shule ya Wavulana ya Umbwe, iliyopo Kata ya Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Thomas Edward Kogal (19) amefariki dunia wakati akifanya mazoezi shuleni hapo. Mwanafunzi huyo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Kigoma, anadaiwa kufariki dunia juzi...
  2. Dunia ingelikwaje bila Wayahudi?

    Inakadiriwa kuwa idadi ya Wayahudi wote duniani ni milioni kumi na tano. Wanaoishi Israeli ni asilimia 41 tu. Waliosalia, asilimia 41 wapo Marekani na asilimia 18 nchi zinginezo. Idadi ya Wayahudi ni ndogo sana. Ni asilimia 0.2 ya watu wote duniani. Pamoja na uchache wao, mchango wao ni mkubwa...
  3. M

    Utapeli kwenye dini ni sawa na utapeli kwenye shule hizi za english medium, wazazi stukeni dunia imebadilika,

    Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu, Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji, Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha...
  4. Zingekuwepo bado jamii(species) nyingine za binadamu zaidi ya kwetu ya Homo Sapiens dunia ingekuaje wakati huu?

    Kulingana na evolution inasemekana kulikuwepo na jamii(species) zaidi ya tisa za binadamu ambapo kufikia miaka elfu arobaini iliyopita nane zilitoweka kwa sababu mbalimbali na hatimaye ikabaki moja tu iliyo survive ambayo ni ya kwetu ya Homo Sapiens, Sasa wangekuwepo akina Homo Neanderthals ...
  5. M

    TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

    Mungu ailaze mahali pema peponi nafsi yake Bwana alitoa Bwana ametwaa. === Msanii wa Bongo fleva Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo August 11 2024, akiwa Jijini Dodoma. Kwa mujibu wa habari za awali Mandojo amefariki kwa kupigwa na wananchi waliodhani kuwa ni mwizi baada ya kutokea...
  6. TANZIA Mzee Kavana (alishiriki Maasi ya 1964) afariki dunia!

    Mzee Kavana, aliyekuwa Captain Kavana mwaka 1964 na aliyechagulia na askari wa Tanganyika Rifles walioasi ili awe kiongozi wao badala ya wazungu, amefariki jana 9/8/2024. Captain Kavana wakati huo alikuwa hana hili wala lile huku askari waasi wakishinikiza kuwa kwa vile tumepata uhuru, lazima...
  7. Marekani Kombe lao la Dunia ni Olympics

    Hawa jamaa kila Olympics wanazoa medali balaa. Wamepeleka wanamichezo 600+. Hadi sasa wana medali 101. China ndo inawafuatia. Hakwenda kiongozi yoyote wa serikali zaidi ya makocha wa kila mchezo. Wanaoshinda medali wote wanalipwa wakirudi US, kwanini tusijifunze kwao?
  8. Dunia haina huruma, Vijana tunapitia mengi sanaaa kwenye huu Ulimwengu. Soma hii Mikuki

    INTRODUCTION:- Sina mengi, hebu soma hizi screenshots..!!! SCENARIOS:- PISI YA KWANZA. School mate wa Advance PCB, Nilipost picha Insta nipo nanenane na wateja (waliohudhuria banda letu la maonyesho) nawaelezea fursa mbalimbali. Wakati nafundisha/naelekeza raia, Afisa Habari wetu akanipiga...
  9. Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

    Dini zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu kwa maelfu ya miaka, zikitoa mwongozo wa kimaadili na kiroho. Hata hivyo, kuna hoja mbalimbali zinazotumiwa kuonyesha kwamba dini ni utapeli. Moja ya hoja hizi ni kwanini vitabu vya dini havijataja sayari nyingine zaidi ya Dunia. Vitabu vya...
  10. TANZIA Connie Chiume: South African TV star dies aged 72

    Connie Chiume, a veteran South African actor who appeared in Marvel film Black Panther, has died at the age of 72, her family has announced. The multi-award-winning actress starred in several South African TV shows including Rhythm City, Zone 14 and most recently, Gomora. Chiume was a trained...
  11. S

    Bashe hadi sasa bado ni Waziri wa Kilimo? maajabu ya dunia

    Tumemsikia Mpina kashfa ya kuagiza sukari kutoka nje, tumewasikia wakulima wa miwa wakimlalamikia Bashe kwa kuua kilimo chao cha miwa, tumewasikiliza wenye viwanda wakimlalamikia bashe kwa kutunga sheria ya kuua viwanda vyao, tumemsikia Mheshimiwa Rais akilalamikia suala la uagizaji sukari nje...
  12. Notorious b.i.g na ujumbe ulioshindwa kuiponya dunia

    Baada ya kifo cha 2 pac September 7 ,1996 , notorious B.I.G alihusishwa sana na kifo cha 2 pac na haya ndio yalikuwa majibu yake . Kwa maana rahisi “Sure we had our hardships, but I would never wish death upon no one. There's no coming back from that.” Watu wakifa hakuna kurudi tena kama...
  13. Dunia sasa inatengeneza watu wadhaifu sana

    Majuzijuzi niliwaambia kwamba kwa sasa hii dunia inatengeneza watu soft sana, na niliwazungumzia waandishi wa habari walivyokuwa soft, si kama wale wa zamani, yaani usoft wao umekuwa kwenye kila kitu, dunia inatengeneza waandishi machawa kuliko hata wale wenye taalumu halisi ya uandishi. Sasa...
  14. Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

    Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
  15. Hakuna kitu cha Milele katika Dunia hii ikiwamo Matatizo

    Ni kweli kabisa tunakumbana na matatizo makubwa sana ambayo kwa namna moja ama nyingine likikufika unaweza ukaona kuwa sasa umekwisha. Yani unaona kabisa hapa sitoboi hata iweje. Ngoja nikuambie kitu. Tatizo linapotokea wakati huo huwa linakuwa la moto sana kulingana na tatizo lenyewe. Sasa...
  16. Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

    Anasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!. Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!. Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
  17. Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

    Habari za jioni wadau.... Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema. Leo pia nina swali kuhusu Oxygen au hewa. Kwa mujibu wa sayansi, asili ya hewa au mazingira yake ni lazima iwe katika eneo ambalo...
  18. Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  19. Kabla uchaguzi kufanyika Marekani.Yatajwa kuna njama za kumuua Trump.Aongezewa ulinzi.Naye asema ataifuta Iran kwenye uso wa dunia.

    Dunia itaendelelea kuwa sehemu ambayo si salamu kwa watu kuishi kwa utulivu muda wote ambao Marekani na Israel zitaendelea kuwa washirika wa karibu. Hivi karibuni kulifanyika jaribio la kumuua mgombea uraisi wa Marekani na ambaye amewahi kuwa rais,bwana Donal Trump.Jaribio hilo lilifanywa na...
  20. Kuna wakati sisi wanawake tulipaswa kuishi maisha haya. Dunia ingekuwa sehemu salama kabisa

    Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu. Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo. Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja. Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…