nilikuwa namchukulia poa misso misondo wakati anatrend mwanzoni.
ila nimegundua sio mtu poa huyu kijana. kila siku anabuni biti mpya na unakuta kali kuliko ile ya zamani.
ushauri wangu kwake ajiongeze apate mtu wa kumuandikia na mistari kidogo tena iwe ya kiswangilish.. kiingereza kwa mbalii...
HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains.
Bahari Yao Inaitwa BLACK SEA, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama.
Tofauti na sisi great lakes ZETU za CHIMBUKO la mababu ZETU zote...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Nkunda ametangaza Kifo cha Luteni Jenerali Mstaafu Balozi Martin Mwakalindile kilichoteka Januari 28, 2024 nchini India alikokuwa akitibiwa.
Nadhani hii ndio strateji sahihi.
Dunia na Afrika Mashariki wawe na mtazamo mpana zaidi. Wasimuangalie mtu, waangalie nchi. Huyu mtu anapita tu, na ndani ya miaka 30 ijayo hatakuwa alipo. Sasa ana miaka sabini, hakika hawezi kuongoza Rwanda akiwa na umri wa miaka 100.
Tunamuona anafoka foka na...
Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
Maskini wanajifanya wanazo, Matajiri wanazuga wanajifanya hawana. Wenye kazi wanapost upuuzi wanajiita majobless, Majobless sasaaaa🤣🤣wanajifanya wako serious na maisha.
Wajinga wanajifanya wanaakili na wenye akili wametulia hawataki hata kujieleza,.
Mashetani sasaaa😂😂 wao ndo wanajifanya...
KALENDA NYINGI DUNIA MOJA
1. Kalenda ya Gregorian
2. Kalenda ya Pawukon (Bali, Indonesia)
3. Kalenda ya Ethiopia
4. Kalenda ya Kiyahudi
5. Kalenda ya Kichina
6. Kalenda ya Hijira
7. Kalenda ya Kiajemi
8. Kalenda ya Kijapani
9. Kalenda ya Julian
10. Kalenda ya Buddha
11. Kalenda ya...
Kuna fukuto kubwa la kutoweka Amani duniani. Vita na tetesi za Vita zimetamapakaa duniani.
Eneo la mashariki ya kati ni la moto. Kila taifa sasahivi linajiimarisha kiulinzi. Dunia inapitia kipindi kigumu sana. Kila kukicha kuna tukio la habari mbaya.
Dunia haitapata Amani tena. Uchumi wa dunia...
Haya maandamano yaliyofanyika, utulivu ulionekana na mashirikiano chanya yaliyowekwa na Jeshi la Polisi ni wazi kwa miaka mingi wanasiasa wa CCM wamekuwa wakitumia jeshi la Polisi vibaya kudhibiti mawazo na fikra mpya.
Maandamano haya yamefanyika kwa ustaarabu mkubwa yakihusisha familia za...
Karibu tupate kufahamu machache kutoka kwa wenzetu huko!
1. New York, Marekani
Jiji lla New York lilikuwa na utamaduni wa ajabu kidogo haswa katika miaka ya 1920s, kwani tarehe moja mwezi Mei ambayo kwa sasa tunaadhimisha sikukuu ya Wafanyakazi basi wapo ilikuwa ni siku ya kuhama maarufu kama...
Ukiuliza sera ya serikali kwa sasa ni nini hata viongozi wenyewe hawajui. Wataanza kukutajia SGR, Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere, watakutajia Bandari na kadhalika.
Kwa ufupi hata viongozi hawajui Tanzania na Watanzania wanahitaji nini.
Watanzania wenyewe pia hawajui wanahitaji nini...
Habarini wana JF na mvua za hapa na pale. Jana tumetoka kutoa mahari tukimsindikiza jamaa mmoja ila tulipofika mimi sikujua mahari ila kwa vile sio mambo yangu pale kwenye mahari ilikuwa ndogo kulingana na kipato chake kama alivyokadiriwa.
Asilimia kubwa za familia ukiona unawekewa mahari kubwa...
Kwa mfano Tundu Lisu uandaliwe Mdahalo na Mgombea Urais wa CCM na iwe live unategemea kuna TV itaacha kuonyesha huo mchuano ?
Pamoja na kwamba tunatamani ,je hivi vyama viwili vitaruhusu kutokea kwa mdahalo huo? Kama haitaruhusu unadhani kwanini itakuwa ngumu kuruhusu msuguano huu wa fikra?
Waziri wa zamani wa Uingereza, Boris Johnson amemuidhinisha Donald Trump kugombea urais wa Marekani, akidai atawashangaza wakosoaji wake na kuunga mkono Ukraine, na kufanya "Magharibi kuwa na nguvu" na "dunia kuwa thabiti zaidi".
.
Waziri mkuu huyo wa zamani aliwakejeli mahasimu kwa...
Mwana harakati mahiri wa kutetea haki za watu weusi wajitambue na warudi kwenye asili yao Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya amefariki dunia huko Sengerema mkoani Geita 🇸🇪.
Kissendi aliugua muda mfupi kabla ya kufariki kwake. Mipango ya mazishi inaendelea.
Bado wana familia hawajaweka wazi ni...
Hashimu Rungwe atoa maoni yake kuhusu maandamano ya CHADEMA, asema ni haki ya dunia nzima kufanya maandamano ikiwa kuna mambo wanaona hayaendi sawa.
Katiba ya nchi inaviwezesha vyama dunia nzima kufanya maandamano pale ambapo kukiwa na mambo ambayo hawaridhiki nayo.
Kama wao wamesema kuhusu...
Dunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu muda mrefu.
Kukiwa na wababe wengi lazima watapigana na matokeo yake mshindi anaendelea kuwa mbabe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.