Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu ina faida nyingi kwa nchi, hasa katika maendeleo ya kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kiuchumi zinazoweza kupatikana kwa kutumia mifumo hii:
1. Kukuza Ustawi wa Kijamii
Usawa wa Kijamii: Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu inahimiza usawa na haki, kwani...
Natambua majina ya maeneo, mitaa, Taasisi au uwekezaji mara nyingine huja yenyewe kutokana na matukio au waanzilishi na mambo mengine mengi hapa nazungumzia haya ya kupewa sio hayo ambayo automatically yanakuwa hivyo .
Duniani kote kuna mitaa na maeneo zaidi ya 20 inayokwenda kwa jina LUMUMBA...
Mgombea nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha Democratic nchini Marekani Bibi Kamala Harris ameanza kumuwashia taa ya indicator mgombea wa chama cha Republican Bw. Donald Trump.
Hii ni kufuatia matokeo mbalimbali za kura za maoni zilizotolewa na mashirika kadhaa ya nchini humo.
Na kama hali...
Leo ni siku ya taa za barabarani ambayo taa ya barabarani ya kwanza iliwekwa tarehe 5 August 1914 huko cleveland ohio USA, system ilitengenezwa na bwana Lester Wire na leo ndo inatimiza mia tangu zianzishwe.
Traffic lights za kwanza zilikuwa na rangi mbili tu mpaka mwaka 1923 ilipoongezwa rangi...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nawalaumu sana wazazi wangu na Mimi mwenyewe kutozaliwa/kuzaa nje ya Tanzania!
Sababu ya kwanza ni kwamba,hivi mzee wangu kweli alishindwa kupiga Swaga mwanamke yeyote wa Kikenya hadi azae Tanzania?,Ukizingatia kwetu hapo Tarime mjini hadi Sirari ulipo...
Kwenye riadha huko Duniani miaka ilee palipata kutokea Mwamba alieitwa Tim Montigomery raia wa Marekani.
Siku Moja Tim alikimbiza upepo huku akisindikizwa na makelele ya wapenzi watazamaji wa Mchezo huo wengi wao wakiwa wamarekani wenzie na kufanikiwa kuwa bingwa wa mita 100.
Wakati hayo...
Habari ndugu zangu.
Miaka miwili iliyo pita nilitongoza Binti mmoja mitaa ya home akanichomolea nje.sikukata tamaa mapema nikamrudia kipindi Cha pili majibu alio nipa ni kama hapo juu kichwa nilicho andika.
NO ONE WILL DIE VIRGIN BECAUSE LIFE F&CK ALL OF US
Mtakao Sema chai nimewawekea na...
1. Mpakwa Mafuta ( Masaki na Temeke Uwanja wa Uhuru )
2. Bia Kijiti daima ( Sinza na Tandale )
3. Maisha ya Matumaini ( Masaki, Kariakoo, Ilala na Buguruni )
Imeshaisha hiyo.......Kudadadeki.....!!
Kwa kutambua juhudi za walevi kwenye uchumi, 2/8 ni siku ya Bia Duniani.
Natoa salute Kwa walevi wote Kwa juhudi zao za kukuza Uchumi Kupitia unuwaji bia ambapo Kwa Tanzania Mapato kutokana na Pombe hufimia karibu Trilioni 1 huku sekta hiyo ikitoa Ajira Kwa maelfu ya watu.
Ni muda muafaka Sasa...
Historia ya tawala za Kikristo zilizoanguka inajumuisha mabadiliko muhimu katika mifumo ya utawala na jamii ambapo tawala hizi zilikua na kuathiri mikoa mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya tawala za Kikristo zilizoanguka:
Dola la Roma la Magharibi (476 CE): Dola la Roma la Magharibi lilikuwa na...
1.Urahisi wa Kutupa: Wavutaji wengi wa sigara hawana mahali maalum pa kutupa vipande hivyo baada ya kuvuta, hivyo wanavitupa ovyo ovyo.
2.Ukosefu wa Uhamasishaji: Watu wengi hawajui madhara ya kutupa vipande vya sigara ovyo. Ukosefu wa uhamasishaji juu ya athari za mazingira unachangia tatizo...
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
afrika kusini
duniani
harrison mwakyembe
maana
makonda afrika kusini
makonda apewa sumu
makonda mtoto pendwa
mbinguni
mtoto pendwa
mwakyembe
paul makonda
toto pendwa tanzania
Mathalani, Ripoti ya Kielelezo cha Ufisadi wa Mwaka 2022 inaonesha kuwa nchi nyingi zinashindwa kukomesha ufisadi.
Kielelezo hiki cha Ufisadi hupanga nchi na maeneo 180 Duniani kwa viwango vyao vya ufisadi katika sekta za umma, na kutoa alama kuanzia alama sufuri 0 ikiashiria (ufisadi mkubwa)...
Dunia inabadilika sana, inakwenda kasi sana. Siyo Dunia ya busara na heshima tena bali ni Dunia ya akili mpya zinazoweza kutatua changamoto.
Hakuna Sehemu Duniani maendeleo yanaletwa na busara na hekima na hakuna uhusiano kati ya umri na busara. Kama ujanani ulikosa busara na hekima siyo rahisi...
Siku ya Kimataifa ya Urafiki huadhimishwa tarehe 30 Julai.
Siku hii inaheshimu marafiki na nafasi yao muhimu katika kuboresha maisha yetu.
Marafiki hufanya maisha kuwa rahisi zaidi, iwe ni wanaposafiri nasi au wanaposikiliza matatizo yetu na kutoa ushauri.
Uwepo wao ni muhimu sio tu wakati...
1. Kaizer Chiefs ya jana na ya sasa siyo ile yenyewe kwani bado Inajitafuta
2. Kaizer Chiefs ya sasa ( ya jana ) bado inajikongoja kwa miaka / misimu karibia saba
3. Kaizer Chiefs ya jana ( ya sasa ) ilikuwa na takribani Wiki moja tokea Wachezaji wajiunge kwa Pre Season
4. Kaizer Chiefs ya jana...
Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili
Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali Muziki wa Tanzania kuna ulazima wa kila mtanzania kuunga mkono jitihada zake za kukuza muziki wa...
Kwema Wakulungwa.
Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?
Mimi Miaka 87.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.