duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Why

    Namna Wachungaji waovu wanavyoiharibu amani ya Waumini Duniani

    Duniani kuna Wachungaji wa aina mbili, wema na wabaya Wachungaji wema mara zote wanahubiri habari njema za Mungu, mara zote wanaeneza Upendo, Amani, Mshikamao na kupigania utulivu ndani ya mioyo ya Wanadamu wote Wachungaji Wema sifa zao kubwa wanakuwa ni wasomi wa hali ya juu na wanaoendesha...
  2. JanguKamaJangu

    Mwanzilishi Mwenza wa Lebo ya Murder Inc Records, Irv Gotti afariki Dunia

    Producer maarufu duniani Irv Gotti amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54. Chanzo cha kifo chake bado hakijatajwa huku ripoti za awali zikisema mwaka jana alipata tatizo la kupooza kwa muda mfupi na baadae kupata nafuu. Irv Gotti ambaye jina lake halisi ni Irving Domingo Lorenzo Jr...
  3. The Common

    Tanzania imeshika nafasi ya 13 nchi zisizo na furaha duniani

  4. sanalii

    Trump na Netanyahu wataondoka hapa duniani watawaacha Wapalestina Gaza

    Hawa magaidi wawili wanapanga openly kua wawahamishe watu gaza ili wajenge wachukue wao eneo. Baada ya kuwaua, sasa wanataka kuwaondoa, ila ukweli ni kua watashindwa. Na ni aibu hasa kwa wanaoshabikia haya yanayowakuta wapalestina. May cowards get 10 times of suffering of Palestinians, may...
  5. Father of All

    Hivi kuna watu wenye roho mbaya kama wahindi, wasomali, watutsi, na waarabu duniani? Ukiangalia wanavyowabagua wenzao ambao Ulaya huwekwa kundi moja

    Sina chuki na watu niliowataja hapo juu. Ila kiasili na kimatendo wana roho mbaya, wachoyo, na zaidi ni wabaguzi wa kunuka. Ukiwakaribisha kwenye nchi yako jua watataka wakutawala, wakubague, hata wakutupe nje. Je ni kwanini Tanzania tumejaza watu hawa bila kuchelea hatari yao? Ukienda...
  6. Yoyo Zhou

    Mauzo ya tiketi za filamu katika sikukuu ya Mwaka Mpya wa China yaweka rekodi mpya na kunyakua nafasi ya kwanza duniani

    Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria. Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
  7. R

    Msaada tutani, CCM mna mgombea wa kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia Rais Trump?

    Hellow Tanganyika, USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado, hivyo kutangaza wagombea sasa Bado Si HOJA sana, mabadiliko yaweza fanyika. Tujiulize yafuatayo; 1...
  8. GRAMAA

    Waziri wangu wa Elimu nakukumbusha tu malipo ni hapa hapa duniani

    Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani. Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio. Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona. Lakini bado nilipokuona...
  9. Manfried

    Uwepo wa VITA duniani ni ishara pekee kuwa binadamu ni kiumbe ambaye ana akili ndogo , unatoka kwako kwenda kupigana kwa ajili ya mwanasiasa fulani!

    Huwa nawaambia binadamu ndo kiumbe ambaye hakupewa akili Ila baadhi ya watu wanabisha. Ebu jiulize hao M23 wanapambania nini ? Au vita ya Russia ma Ukraine ilisababishwa na nini. Mtu unakubali kwenda kuuliwa na hao M23 kisa umetumwa na hawa wanasiasa Vilaza na wajinga ambao wanapambania...
  10. Damaso

    Kuku 10 bora Duniani

    1. Silkie Chicken 2. Ameraucana 3. Gold Laced Wyandotte 4. Polish Chicken 5. Playmouth Rock 6. Cochin Chicken 7. Hamburg Chicken 8. Mille Fleur D'uccle Bantam 9. Sebright Chicken 10. Brahma Chicken Kwa mazingira ya Afrika sidhani kama tunatazama breed kikubwa awe kuku...
  11. Sister Abigail

    Hivi tatizo la kutosikia vizuri ni tatizo kubwa zaidi duniani?

    Salaam, Imenibidi niulize Kwa maana Hali Halisi niionavyo na nikiwa kama mhanga mmojawapo inanifkirisha sana. Nasema hivi sababu Kuna baadhi ya watu jinsi wanavyotendea wenye matatizo ya usikivu ni kama kuwafanya vituko. Hugeuza tatizo lao kuwa utambulisho badala ya kumsaidia.unakuta uko eneo...
  12. LIKUD

    Nadharia yangu namba 5 kwanini binadamu tumeumbwa duniani

    Nimekuwa nikisema mara nyingi kuwa sikubaliani na fundisho la Dini hizi( Abrahamic religion/ ukristu, uislamu, na Judaism) kuhusu sababu kwanini binadamu tumeumbwa duniani Mafundisho ya Dini hizi yanasema bila aibu kwamba ; 👇👇👇👇 " Mwenyezi Mungu alituumba wanadamu ili tumuabudu" Nikasema...
  13. Venus Star

    UKWELI USEMWE: CCM ni Chama Kikubwa Nambari 9 Duniani

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) cha Tanzania kinashika nafasi ya tisa duniani kwa ukubwa Hapa kuna orodha ya vyama kumi vikubwa vya siasa duniani kulingana na idadi ya wanachama: Bharatiya Janata Party (BJP) – India: Wanachama milioni 198 (2023) Chama cha Kikomunisti cha China (CCP) – China...
  14. Rule L

    Top 6 yangu ya marais duniani. Kuanzia mwaka 2015

    Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. 1 John Joseph Pombe Magufuli a.k.a JIWE R.I.P jiwe waliokuchukia wapo hoi bin wa taabani. 2 Kim Jong UN 🔥🔥🔥🔥🔥 3 Vladimir Putin 🔥🔥🔥🔥 4 Ibrahim traore🔥🔥🔥🔥 5 Donald trump 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 6 Robert Mugabe R.I.P giant NB. Zingatia namba tano
  15. GENTAMYCINE

    Kuna Mtu leo duniani Lipshine ilizidi Mdomoni halafu alikuwa akiongea so Sexy hasa hasa akiwa anamalizia kutoa Maelekezo

    Binafsi nikiwa kama mwana Dunia pia nilifurahishwa nae zaidi alipokuwa akiongea kwa Kulegeza Sauti mwishoni. ANGALIZO Kabla ya Kuchangia huu Uzi nashauri Kwanza uangalie hapo juu upo katika Jukwaa gani ili tusije Kutibuana mbeleni.
  16. Alubati

    Aisee! kuna Magari mazuri sana duniani

  17. Rozela

    KERO TANESCO Morogoro wanaongoza kwa uzembe, Wapewe tuzo.

    Hawa mabwana mvua ikinyesha kidogo tu afisa mkata umeme anakata mji mzima na hawafanyagi kazi usiku hivyo mvua ikinyesha wakikata sa 1 jioni hiyo ni mpaka kesho yake. Napendekeza meneja wa mkoa apewe tuzo kwa niaba ya afisa mkataji mwandamizi. Kipindi cha JPM ukiwapigia simu umeme umekata...
  18. T

    Uchaguzi kwa sasa duniani ni sanaa ya wana usalama wa Tz tuna shangaa nini?

    Najuwa wengi wamesha chafuka mavumbi najuwa wengi watapiga bia nyingi majumbani mwao nakulala maana kile kimetokea kule dodoma kimewavuruga woote. Sitaki saana kuwandika ila wakati wote intelligence huwanda sanaa na michezo ya sarakasi kuwavuruga kuanzia watawala na watawaliwa. Yes ni michezo...
  19. SAYVILLE

    Jinsi Ziwa Natron linavyoweza kuifanya Tanzania kuwa moja ya mataifa tajiri duniani

    Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali. Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi...
  20. mahindi hayaoti mjini

    Huku ni kukomoana, sijawahi kuona wala kusikia kama hili duniani, TRA mjiangalie

    Pamoja na umachinga wangu, bado nikasema nisaidie nchi yangu kwa kulipa kodi, nimechukua tin namba nikakata leseni nikafungua kiosk, nikakadiriwa nilipe laki nne kwa mwaka, kila miezi mitatu 100,000/=. Nimelipa vizuri mara tatu, mara ya nne nimechelewa kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu...
Back
Top Bottom