Wakazi wa Nairobi wamebaki na maswali baada ya vumbi na upepo kuonekana katika maeneo mbalimbali ya jiji Alhamisi jioni, huku video zinazosambaa mitandaoni zikionyesha hali iliyowashangaza wengi.
Baadhi ya video hizo zinaonyesha vumbi likipeperushwa na upepo, hali iliyowafanya watumiaji wa...