Binadamu wa kwanza aliishi yapata miaka milioni tatu iliyopita, fuvu lake liligunduliwa huko oldvai George na mwana akiolojia Dr Leakey akiwa na mke wake Mary Leakey.
Mwanzo Adam na Eva waliishi ktk bustani ya Eden, baada ya kula tunda wakafukuzwa wakaambiwa waishi nje ya bustani ya Eden...