Naamini mtakufa nyinyi
Kupona nitapona mimi
Kama biashara ya madini
Mgodi na umiliki mimi
Siwezi kuanzisha zaga wakati mwisho wake siuoni
Ni kama kumtusi Baba tena kwa matusi ya nguoni
'Pumbavu'...
Hawanipendi wanaomba nikatike ulimi
Na kwenye 'MV Bokoba' ningekuwepo pia mimi
Na wanapenda kuwa...
TMK Wanaume Family ni kundi la muziki wa kizazi kipya kutoka Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam Tanzania. Kundi lilianzishwa rasmi mnamo Septemba 16 2002 mjini Mwanza, wakati wa uzinduzi wa albamu ya Juma Nature iitwayo Ugali na hadi sasa limejijengea umaarufu katika albamu zake mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.