Eastleigh is a town in Hampshire, England, between Southampton and Winchester. It is the largest town and the administrative seat of the Borough of Eastleigh, with a population of 24,011 at the 2011 census.
The town lies on the River Itchen, one of England's premier chalk streams for fly fishing, and a designated site of Special Scientific Interest. The area was originally villages until the 19th century, when Eastleigh was developed as a railway town by the London and South Western Railway.
Mamlaka zimeanzisha msako wa kumtafuta mwenye jengo lililoporomoka eneo la Eastleigh, Nairobi, Ijumaa, Oktoba 23, 2026, huku shughuli za uokoaji zikiendelea kuwatafuta watu wanaohofiwa kunaswa chini ya vifusi.
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja alisema jengo hilo lilikuwa limepata cheti cha...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, ametoa taarifa mpya kuhusu watu waliokuwapo katika jengo lililoporomoka eneo la Eastleigh, Nairobi, huku juhudi za uokoaji zikiendelea.
Kwa mujibu wa Murkomen, wafanyakazi 67 walikuwa katika eneo la ujenzi wakati tukio hilo lilipotokea. Mmoja...
Tukio la kuporomoka kwa jengo lililokuwa likijengwa katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi, limeibua mjadala mwingine baada ya aliyekuwa Afisa Mkuu wa Ushirikishwaji wa Umma, Ushirikishwaji wa Wananchi na Huduma kwa Wateja katika Kaunti ya Nairobi, Geoffrey Mosiria kufika eneo la mkasa na kupokelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.