Mamlaka zimeanzisha msako wa kumtafuta mwenye jengo lililoporomoka eneo la Eastleigh, Nairobi, Ijumaa, Oktoba 23, 2026, huku shughuli za uokoaji zikiendelea kuwatafuta watu wanaohofiwa kunaswa chini ya vifusi.
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja alisema jengo hilo lilikuwa limepata cheti cha...