Mnamo tarehe 1 Machi 2025, maafisa wa ECOWAS waliotumwa nchini Guinea Bissau kuzungumzia tarehe mpya ya uchaguzi walilazimika kuondoka nchini humo baada ya vitisho kutoka kwa Rais Umaro Sissoco Embalo.
Uchaguzi nchini Guinea Bissau ulipaswa kufanyika Novemba 2024 lakini Rais Embalo ametangaza...
Nchi zinazoongozwa na utawala wa kijeshi, ikiwemo Burkina Faso, Mali na Niger, zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS).
Taarifa iliyotolewa na ECOWAS leo Jumatano, Januari 29, 2025, imeeleza licha ya kujiondoa kwao, imetaka mshikamano wa kikanda na...
Rais wa Mali Jenerali Assimi Goita amesema jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ( ECOWAS) ni sawasawa na kikundi cha kigaidi.
Rais Goita alitoa kauli hiyo mnamo tarehe 6 Januari 2025 alipokuwa akiwahutubia viongozi wa kimila, kidini pamoja na wale wa asasi za kiraia.
Jenerali Assimi...
UPDATE:
Ecowas yawaondolea Vikwazo Guinea, Mali, Niger na Burkinafaso
Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imeamua kuondoa vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa kwa Niger, Mali, na Burkina Faso
Hatua hii ni kufuatia majadiliano ya muda mrefu ya viongozi wa kikanda katika...
Umoja wa Afrika umekataa mpango ya ECOWAS wa kuingilia kijeshi nchi ya Niger, na hivyo kuonyesha kutokubaliana na msimamo wa ECOWAS, kama ilivyoripotiwa na Le Monde.
Kwa mujibu wa chapisho hilo, wakati wa mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika tarehe 14 Agosti, iliamuliwa...
Makundi kwa Makundi ya wananchi wenyeji katika mji mkuu wa Niger, Niamey wameapa kuajiri makumi ya maelfu ya watu wa kujitolea kupigana pamoja na jeshi la Niger katika ulinzi wa nchi yao, dhidi ya hali ya uingiliaji wa kijeshi unaoungwa mkono na magharibi kupitia ECOWAS.
wakazi walizungumza kwa...
Taarifa imethibitishwa na Wanazuoni wa Kiislamu waliokutana na Kiongozi wa Mapinduzi hayo, Jenerali Abdourahamane Tchiani kwaajili ta kutafuta suluhu ya mzozo unaoendelea.
Mazungumzo hayo yamefanyika wakati Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiendelea kutafuta njia za...
Salama humu🙂
Anaejua uchumi was hizi nchi za ecowas atujuze jamani au gdp.
Ninavyojua Mimi nchi za afrika zote ni maskini na wananchi wake wengi wanaishi maisha ya kifukara sana has vijijini.
Ni nchi ombaomba na zinaishi kwa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea.
Sasa kinachoniajabisha...
Mapinduzi yameishatokea nchini Niger baada ya jeshi ambayo yameungwa mkono na viongozi wa kijeshi wa Mali, Burkina Faso na hata Algeria.
ECOWAS umoja wa nchi za Afrika Magharibi kwa harakaharaka bila kufikiri wakatangaza kuwa watachukua hatua za kijeshi endapo raisi wa Niger aliepinduliwa...
Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa NIGER ( Russia + Wagner ) na ECOWAS ( France + Nato + USA). Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Jeshi la Niger kupitia televishen ya taifa limetangaza kupindua serikali ya nchi hiyo. Shughuli site za serikari zimesimamishwa na mipaka ya nchi imefungwa.
======...
Afrika kweli nimeamini tunanyonywa sana, wenye nchi yao wameunga mkono mapinduzi na hawamtaki rais aliepinduliwa. Kwanini nchi nyingine zipangie wananchi hao kiongozi anaewafaa? Kuna nini ndani yake? Ufaransa iko tayari kuisaidi Muungano wa kijeshi wa Ecowas kumrudisha rais, kwanini?
Kumbe...
Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
Sasa mziki unaenda kufungwa nchini Niger, je, wanajeshi waliopindua watatoboa?
====
Pia soma: Viongozi wa ECOWAS watoa Wiki Moja kwa Jeshi la Niger kuachia madaraka
Katika juhudi za kukabiliana na ukoloni na unyonyaji wa mataifa ya Magharibi dhidi ya mataifa ya Afrika, serikali za Niger na Mali zilizotwaliwa na majeshi hivi karibuni zimepanga kuunganisha nguvu kupambana na uvamizi unaopangwa dhidi ya mataifa yao.
Majuzi tumesikia habari kuwa Marekani na...
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imekubaliana kuwawekea vikwazo watu wa karibu na Serikali ya Kijeshi ya Guinea kufuatia Mapinduzi ya Mwaka 2021 yaliyoiondoa Serikali ya Kiraia Madarakani
Viongozi wa Guinea wanasema wanahitaji miaka mitatu kuirejesha Nchi hiyo katika...
Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imesema zuio la Mtandao wa Twitter Nchini Nigeria mwaka 2021 lilienda kinyume na Sheria
Marufuku hiyo iliyodumu kwa takriban miezi 7 inatajwa kukiuka Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu, pia uliwanyima Wananchi Haki...
Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wameondoa vikwazo vya kiuchumi na kifedha vilivyowekwa dhidi ya Mali, baada ya watawala wake wa kijeshi kupendekeza mabadiliko ya demokrasia ya miezi 24 na kuchapisha sheria mpya ya uchaguzi
Umoja huo uliiwekea Mali vikwazo...
Kufuatia Mapinduzi ya Kijeshi ya Januari 24, Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imetangaza kusitisha Uanachama wa Burkina Faso, lakini kwa sasa haijaweka vikwazo vyoyote dhidi ya Taifa hilo.
Jumuiya hiyo pamoja na washirika wake wa kimataifa wamelaani Mapinduzi hayo kwa...
Serikali ya Mpito Nchini Mali imetoa saa 72 kwa Mwakilishi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) kuondoka Nchini humo kufuatia vitendo visivyoendana na hadhi yake.
ECOWAS imekuwa ikishinikiza Mali kuheshimu ahadi yake ya kufanya uchaguzi wa Urais na Wabunge Februari 2022...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.