Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeweka vikwazo dhidi ya Wanajeshi waliofanya Mapinduzi Nchini Guinea wakitaka Uchaguzi Mkuu kufanyika ndani ya miezi 6.
Wameweka marufuku ya kusafiri kwa Wanajeshi hao pamoja na ndugu zao, wakisisitiza Rais Alpha Conde kuachiwa mara...
Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi ECOWAS wametangaza kusimamisha uachama wa Mali baada ya jeshi la nchi hiyo kufanya mapinduzi ya pili ndani ya miezi tisa.
Viongozi wa nchi wanachama wa ECOWAS wakishiriki mkutano wa dharura mjini...
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeonya kuwa inaweza kurejesha Vikwazo Nchini Mali kufuatia Kanali Assimi Goita kuchukua madaraka.
Kanali Goita ameitwa kwenye Mkutano wa Dharura wa Viongozi wa Afrika Magharibi Nchini Ghana ambapo mapinduzi ya pili ya Mali katika miezi 9...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.