ecowas

The Economic Community of West African States, also known as ECOWAS (CEDEAO in French), is a regional political and economic union of fifteen countries located in West Africa. Collectively, these countries comprise an area of 5,114,162 km2 (1,974,589 sq mi), and in 2015 had an estimated population of over 349 million.
The union was established on 28 May 1975, with the signing of the Treaty of Lagos, with its stated mission to promote economic integration across the region. A revised version of the treaty was agreed and signed on 24 July 1993 in Cotonou. Considered one of the pillar regional blocs of the continent-wide African Economic Community (AEC), the stated goal of ECOWAS is to achieve "collective self-sufficiency" for its member states by creating a single large trade bloc by building a full economic and trading union.
The ECOWAS also serves as a peacekeeping force in the region, with member states occasionally sending joint military forces to intervene in the bloc's member countries at times of political instability and unrest. In recent years these included interventions in Ivory Coast in 2003, Liberia in 2003, Guinea-Bissau in 2012, Mali in 2013, and The Gambia in 2017.ECOWAS includes two sub-regional blocs:

The West African Economic and Monetary Union (also known by its French-language acronym UEMOA) is an organisation of eight, mainly French-speaking, states within the ECOWAS which share a customs union and currency union. Established in 1994 and intended to counterbalance the dominance of English-speaking economies in the bloc (such as Nigeria and Ghana), members of UEMOA are mostly former territories of French West Africa. The currency they all use is the CFA franc, which is pegged to the euro.
The West African Monetary Zone (WAMZ), established in 2000, comprises six mainly English-speaking countries within ECOWAS which plan to work towards adopting their own common currency, the eco.In addition, ECOWAS includes the following institutions: ECOWAS Commission, Community Court of Justice, Community Parliament, ECOWAS Bank for Investment and Development (EBID), West African Health Organisation (WAHO), and the Inter-Governmental Action Group against Money Laundering and Terrorism Financing in West Africa (GIABA).The ECOWAS operates in three co-official languages—French, English, and Portuguese, and consists of two institutions to implement policies: the ECOWAS Commission and the ECOWAS Bank for Investment and Development (EBID), formerly known as the Fund for Cooperation until it was renamed in 2001. In 1976, Cape Verde joined the ECOWAS, while Mauritania withdrew in December 2000, having announced its intention to do so in December 1999.
In 2011, the ECOWAS adopted its development blueprint for the next decade, Vision 2020, and, to accompany it, a Policy on Science and Technology (ECOPOST).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Rais wa Guinea Bissau awatishia maafisa wa Ecowas waliokwenda kuzungumzia tarehe ya uchaguzi, waamua kuondoka nchini humo

    Mnamo tarehe 1 Machi 2025, maafisa wa ECOWAS waliotumwa nchini Guinea Bissau kuzungumzia tarehe mpya ya uchaguzi walilazimika kuondoka nchini humo baada ya vitisho kutoka kwa Rais Umaro Sissoco Embalo. Uchaguzi nchini Guinea Bissau ulipaswa kufanyika Novemba 2024 lakini Rais Embalo ametangaza...
  2. F

    SADC yaiandikia barua Jumuiya ya ECOWAS kumuunga mkono Mgombea wa Madagascar na sio wa Kenya (Raila).

    Naona Raila hana bahati. SADC yamruka na kumuunga mkono mgombea kutoka Madagascar na imeiomba jumuiya Africa Magharibi kufanya hivyo pia.
  3. Burkina Faso, Mali na Niger zajiondoa rasmi Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS)

    Nchi zinazoongozwa na utawala wa kijeshi, ikiwemo Burkina Faso, Mali na Niger, zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS). Taarifa iliyotolewa na ECOWAS leo Jumatano, Januari 29, 2025, imeeleza licha ya kujiondoa kwao, imetaka mshikamano wa kikanda na...
  4. S

    Rais wa Mali aifananisha ECOWAS na kikundi cha kigaidi

    Rais wa Mali Jenerali Assimi Goita amesema jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ( ECOWAS) ni sawasawa na kikundi cha kigaidi. Rais Goita alitoa kauli hiyo mnamo tarehe 6 Januari 2025 alipokuwa akiwahutubia viongozi wa kimila, kidini pamoja na wale wa asasi za kiraia. Jenerali Assimi...
  5. Burkina Faso, Mali na Niger zatangaza kujiondoa ndani ya Umoja wa ECOWAS

    UPDATE: Ecowas yawaondolea Vikwazo Guinea, Mali, Niger na Burkinafaso Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imeamua kuondoa vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa kwa Niger, Mali, na Burkina Faso Hatua hii ni kufuatia majadiliano ya muda mrefu ya viongozi wa kikanda katika...
  6. Umoja wa Nchi za Afrika (AU) umepinga kuiingilia Niger kijeshi mpango ambao ECOWAS uliuwakilisha kwenye kikao hicho

    Umoja wa Afrika umekataa mpango ya ECOWAS wa kuingilia kijeshi nchi ya Niger, na hivyo kuonyesha kutokubaliana na msimamo wa ECOWAS, kama ilivyoripotiwa na Le Monde. Kwa mujibu wa chapisho hilo, wakati wa mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika tarehe 14 Agosti, iliamuliwa...
  7. Makundi ya wananchi Niger yaapa kupigania ulinzi wa nchi

    Makundi kwa Makundi ya wananchi wenyeji katika mji mkuu wa Niger, Niamey wameapa kuajiri makumi ya maelfu ya watu wa kujitolea kupigana pamoja na jeshi la Niger katika ulinzi wa nchi yao, dhidi ya hali ya uingiliaji wa kijeshi unaoungwa mkono na magharibi kupitia ECOWAS. wakazi walizungumza kwa...
  8. Viongozi waliofanya Mapinduzi Niger wakubali kuzungumza na ECOWAS

    Taarifa imethibitishwa na Wanazuoni wa Kiislamu waliokutana na Kiongozi wa Mapinduzi hayo, Jenerali Abdourahamane Tchiani kwaajili ta kutafuta suluhu ya mzozo unaoendelea. Mazungumzo hayo yamefanyika wakati Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiendelea kutafuta njia za...
  9. H

    Nchi za umoja wa ECOWAS zinapata wapi jeuri ya kuwa na jeshi kuvamia nchi nyingine?

    Salama humu🙂 Anaejua uchumi was hizi nchi za ecowas atujuze jamani au gdp. Ninavyojua Mimi nchi za afrika zote ni maskini na wananchi wake wengi wanaishi maisha ya kifukara sana has vijijini. Ni nchi ombaomba na zinaishi kwa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea. Sasa kinachoniajabisha...
  10. Ububu wa AU na ECOWAS baada ya mapinduzi ya Niger waonyesha jinsi akili ya Mwafrika ilivyofumbwa na kuwa tegemezi

    Mapinduzi yameishatokea nchini Niger baada ya jeshi ambayo yameungwa mkono na viongozi wa kijeshi wa Mali, Burkina Faso na hata Algeria. ECOWAS umoja wa nchi za Afrika Magharibi kwa harakaharaka bila kufikiri wakatangaza kuwa watachukua hatua za kijeshi endapo raisi wa Niger aliepinduliwa...
  11. Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa NIGER (Russia + Wagner) na ECOWAS (France + Nato + USA). Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa NIGER ( Russia + Wagner ) na ECOWAS ( France + Nato + USA). Nini chanzo na hatma ya mzozo? Jeshi la Niger kupitia televishen ya taifa limetangaza kupindua serikali ya nchi hiyo. Shughuli site za serikari zimesimamishwa na mipaka ya nchi imefungwa. ======...
  12. Ufaransa inafaidika nini na Niger mpaka itake kusaidia Ecowas kuvunja mapinduzi?

    Afrika kweli nimeamini tunanyonywa sana, wenye nchi yao wameunga mkono mapinduzi na hawamtaki rais aliepinduliwa. Kwanini nchi nyingine zipangie wananchi hao kiongozi anaewafaa? Kuna nini ndani yake? Ufaransa iko tayari kuisaidi Muungano wa kijeshi wa Ecowas kumrudisha rais, kwanini? Kumbe...
  13. Mapinduzi ya Niger: Bunge la Seneti laikataa hatua ya kijeshi, laionya ECOWAS na rais Tinubu

    Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
  14. K

    Mawaziri wa ulinzi wa ECOWAS tayari wamekubaliana kupeleka jeshi Niger. Je, wanamapinduzi watamudu?

    Sasa mziki unaenda kufungwa nchini Niger, je, wanajeshi waliopindua watatoboa? ==== Pia soma: Viongozi wa ECOWAS watoa Wiki Moja kwa Jeshi la Niger kuachia madaraka
  15. Serikali za Kijeshi za Mali na Niger Zapanga Kuungana Kuukabili Uvamizi wa Kijeshi wa Magharibi na ECOWAS

    Katika juhudi za kukabiliana na ukoloni na unyonyaji wa mataifa ya Magharibi dhidi ya mataifa ya Afrika, serikali za Niger na Mali zilizotwaliwa na majeshi hivi karibuni zimepanga kuunganisha nguvu kupambana na uvamizi unaopangwa dhidi ya mataifa yao. Majuzi tumesikia habari kuwa Marekani na...
  16. ECOWAS yakubaliana kuweka vikwazo dhidi ya Washirika wa Serikali ya Guinea

    Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imekubaliana kuwawekea vikwazo watu wa karibu na Serikali ya Kijeshi ya Guinea kufuatia Mapinduzi ya Mwaka 2021 yaliyoiondoa Serikali ya Kiraia Madarakani Viongozi wa Guinea wanasema wanahitaji miaka mitatu kuirejesha Nchi hiyo katika...
  17. Mahakama ya ECOWAS: Zuio la Twitter Nchini Nigeria lilikiuka Sheria na Haki za Binadamu

    Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imesema zuio la Mtandao wa Twitter Nchini Nigeria mwaka 2021 lilienda kinyume na Sheria Marufuku hiyo iliyodumu kwa takriban miezi 7 inatajwa kukiuka Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu, pia uliwanyima Wananchi Haki...
  18. ECOWAS yasitisha vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Mali

    Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wameondoa vikwazo vya kiuchumi na kifedha vilivyowekwa dhidi ya Mali, baada ya watawala wake wa kijeshi kupendekeza mabadiliko ya demokrasia ya miezi 24 na kuchapisha sheria mpya ya uchaguzi Umoja huo uliiwekea Mali vikwazo...
  19. ECOWAS yasimamisha uanachama wa Burkina Faso

    Kufuatia Mapinduzi ya Kijeshi ya Januari 24, Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imetangaza kusitisha Uanachama wa Burkina Faso, lakini kwa sasa haijaweka vikwazo vyoyote dhidi ya Taifa hilo. Jumuiya hiyo pamoja na washirika wake wa kimataifa wamelaani Mapinduzi hayo kwa...
  20. Mali: Serikali ya Mpito yamfukuza Mwakilishi wa ECOWAS

    Serikali ya Mpito Nchini Mali imetoa saa 72 kwa Mwakilishi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) kuondoka Nchini humo kufuatia vitendo visivyoendana na hadhi yake. ECOWAS imekuwa ikishinikiza Mali kuheshimu ahadi yake ya kufanya uchaguzi wa Urais na Wabunge Februari 2022...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…