Mtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji.
Namnukuu Edo Kumwembe,
Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya nchi yetu, mbaya zaidi watekaji wanapata nguvu kwakuwa hawachukuliwi sheria.
Akaongeza, mpaka leo...
Huenda ni totoz za huko Belgium zinamzuzua, labda ni Pombe, ama kampani mbaya, n.k. lakini kwa umri alionao ni vema abadilike mapema
Hapo mwezi uliopita Edo Kumwembe aliwahi kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram akimuasa Kelvib John abadilike kinidhamu, hatuwezi kujua aba utovu upi lakuni...
KITU AMBACHO HAKITAHOJIWA KWA SASA....
Mamilioni Yanayotumika Kumpaisha Leo Ukianzia Shughuli Yenyewe
Ukumbini Pesa Imezama mule, Halafu Kwenda Studio Na Pia Video
Kali, Mavazi Ya Kufa Mtu, Location Za South Africa etc... Promotion ya
kufa mtu Anaelekea kuwa staa mkubwa.
Baadae Akiamua Kujitoa...
RAFIKI yangu Ibrahim Ajibu Migomba amekwenda katika timu yake ya tano Ligi Kuu Bara. Timu yake ya pili nje ya Jiji la Dar es salaam. Haikutazamiwa kuwa mapema hivi lakini ndio hali halisi. Ndani ya misimu mitano amecheza timu takribani tano.
Sasa Ajibu ametua Coastal Union. Ni ndoa ambayo...
UNAPOKUWA Aishi Manula nyakati hizi unakuwa na wasiwasi mwingi. Wakati upo kwako Kitunda unaambiwa kwamba Simba imepeleka golikipa kutoka Brazil katika kambi yao ya Uturuki. Moyo wako unapatwa na wasiwasi.
Hakuna mwanadamu ambaye hana hofu na kazi yake. kazi ni maisha. Kazi ni kila kitu. Lazima...
Mimi (GENTAMYCINE) baada tu ya Simba Day (juzi Jumatatu Alfajiri tu) nilikuja na taarifa hapa JamiiForums, tena nikijiamini nayo kabisa nikisema kama Mchezaji Mshambuliaji wa Simba SC Mzambia Moses Phiri ataendelea kutopangwa na Kocha Robertinho basi nitamuanika hapa hapa Kiongozi wa Simba SC...
ALIKUJA, aliona, alitawala, ameondoka. Fiston Kalala Mayele. Mara yangu ya kwanza kumuona ilikuwa ni katika jiji la maraha la Marrakeich pale Morocco katika maandalizi ya msimu mpya Julai 2022. Hakuwa jina maarufu miongoni mwetu. Baada ya virusi vya corona kuvamia katika kambi ya Yanga na kisha...
KAMA kuna mchezaji ambaye alikuwa anapendwa na Wanayanga miezi 12 iliyopita mmojawapo alikuwa Yannick Bangala. Watangazaji wa Azam TV walimuita Mzee wa Kazi Chafu. Kuna wachezaji walionekana kufanya kazi nyingi ambazo zingeonekana kiurahisi. Yeye alikuwa anafanya kazi nyuma ya pazia.
Usingeweza...
JINA la Fiston Mayele halikuwepo katika orodha ya wachezaji waliotambulishwa Jumamosi jioni wakati Yanga walipofanya tamasha lao la wiki ya Mwananchi. Hakuna aliyeshangaa sana. Moja kati ya siri ambazo zimefichwa vibaya ni kwamba Mayele ameuzwa. Kila mtu anafahamu.
Haikushangaza kuona jina lake...
UNAPOANDIKA kitabu kinachohusu klabu ya Simba. Utaandika mwanzo, katikati, kisha kuna hizi kurasa za mwisho mwisho. Namaanisha hizi zama zetu za sasa. Utaandika sifa za baadhi za wachezaji. Utakutana na jina la Luis Miquissone.
Katika sifa rahisi zaidi kumwelezea Miquissone inabidi uandike tu...
MSIMU ulioisha ulikuwa wa pili kwa Fiston Mayele hapa nchini. Msimu wake wa kwanza katika pambano moja la Simba alikutana na kisiki kinachoitwa Joash Onyango. Ni ndani ya miezi 24 tu iliyopita. Mayelle hakukatiza.
Mwishowe Enock Inonga alijichukulia sifa kwa kumsindikiza Mayele wakati anatolewa...
MVINYO wa Nebiollo unaopatikana Italia ndio mvinyo ambao unasindikwa katika chupa kwa muda mrefu zaidi duniani. Miaka 20. Kadri unavyozeeka ndivyo unavyokuwa mtamu. Unanywewa na matajiri kama kina Sir Alex Ferguson.
Katika huu mchezo wa kihuni unaoitwa soka, wachezaji wanaolinda lango maarufu...
WAKATI Simba ilionekana kama imekosea kuwasajili Victor Akpan na Nassor Kapama katika dirisha kubwa lililopita la uhamisho, hatimaye Januari ikafika. Mtu mmoja mwenye busara zake akaishauri Simba iongeze mchezaji wa kiungo baada ya Akpan na Kapama kuonekana hawafahi.
Mtu huyo akawasiliana na...
ZAMANI mzee Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kupigwa picha akipanga foleni kuingia katika pambano moja la timu yake aipendayo Yanga. Wakati ule alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Alipenda zaidi soka na kikapu.
Akizungumzia kitu kuhusu michezo anazungumzia kitu anachokifahamu. Majuzi nilikuwa...
ITACHEKESHA kusema kwamba mmoja kati ya makocha waliodumu sana katika timu kubwa katika miaka ya karibuni hapa nchini hatimaye ameng’oka. Nassiredine Nabi. Anaweza kuwa amekaa misimu mitatu tu Yanga lakini kwa mpira wetu amekaa muda mrefu. Katika kipindi chake unadhani Simba na Azam wamepita...
MWISHONI kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya hivyo.
Alijua ameshindwa kumalizia kipande kidogo cha historia kilichokuwa kimebakia. Matokeo ya...
KISASI cha miaka ishirini iliyopita kimelipwa Ijumaa usiku katika Uwanja wa Mohamed V, pale Casablanca.
Kisasi cha watu wa Afrika Kaskazini dhidi ya Simba. Maumivu yalikuwa makubwa wakati Simba walipoitoa Zamalek kwa penalti katika uwanja wa Taifa wa Misri miaka ishirini iliyopita pale Cairo...
Akiwa katika kipindi cha sports arena kupitia wasafi fm, mchambuzi wa michezo nchini, Edward Kumwembe amesema ana uhakika hata simba akishinda 3-0 kwa Mkapa jumamosi bado atatolewa na Wydad katika mechi ya marudiano.
Una maoni gani? Comments ziwe fupifupi
Na edo kumwembe
Ni nchi ya ajabu kwa mwanadamu makini kuweza kuishi. Ni nchi inayoshangaza sana, ingawa raia wake hawaonyeshi kushangazwa na matukio kadhaa yanayotokea.
Naizungumzia Tanzania nchi niliyoishi kwa miongo kadhaa tangu nizaliwe. Baada ya nyimbo nyingi za matatizo, dhiki, wizi...
NI ndoto inayotisha. Pambano la Simba dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco ni ndoto inayotisha. Simba wametoka kufungwa jumla ya mabao 6-1 katika mechi mbili walizocheza na Raja, timu nyingine kutoka jiji hilo lenye wakazi milioni tatu na zaidi nchini Morocco.
Lakini kuna ndoto nyingine...