NAMNA maisha yanavyokwenda kasi. Ijumaa usiku wa manane dunia ilikuwa imemwangukia mlinzi wa kati wa kimataifa, Josh Onyango mara baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Simba na Raja pale Casablanca.
Asubuhi tuliamka picha zake katika mitandao ya jamii na alikuwa akishambuliwa kwa kejeli na...
MARA ya mwisho Yanga kutinga robo fainali michuano inayoandaliwa na CAF, Clement Mzize alikuwa hajazaliwa. Kelvin John alikuwa hajazaliwa. Ilikuwa mwaka 1998. Yanga walistahili furaha waliyoipata juzi. Ndiyo, walistahili. Safari wamekwenda robo fainali yenye heshima zaidi.
Mwaka ule wakati kina...
"Habari brother!!!!
Habari za leo Edo Kumwembe? Pole sana na majukumu mazito sana ya Uchambuzi hapo Wasafi!!!Pole na kazi nzuri sana ambazo umekuwa ukizifanya kwa nyakati tofauti tofauti zinazowa 'inspire' vijana.....Hongera pia kwasababu wewe ndio uti wa mgongo wa vijana wengi wachambuzi na...
Aliondoka kwao akiwa kijana mwenye ndoto njema. Ndoto ya kutokuwa tapeli wala kibaka. Ndoto ya kucheza soka. Naamini aliondoka kwao akiwa hajaenda sana shule. Usishangae, hata wanasoka wa Ulaya huwa hawana muda wa kwenda shule. Wanaishi kwa kuzitumikia ndoto zao za uwanjani na wanafunga vitabu...
ALIPOOMBA au tuseme walipoomba marejeo kuhusu kesi yake ya kujaribu kuvunja mkataba, upande wa Feisal Salum ‘Fei Toto’ umepigwa chini tena. Inaonekana kwamba uamuzi wa awali wa kamati iliyokaa kujadili kesi yake umebakia vile vile kwamba Fei ni mchezaji wa Yanga.
Nini kinafuata kwa Fei Toto? Ni...
KIUNGO Mbrazili wa Singida, Bruno Gomes amenifikirisha mambo mengi. Mengine ya kijinga mengine ya maana. Ameendelea kutamba katika Ligi Kuu kwa mara nyingine tena. Juzi alimtungua Aishi Manula bao maridadi la mpira wa adhabu tukaishia kumkubali tu. Tungefanya nini zaidi?
Bruno alikuwa...
MPAKA leo ni nani ambaye anaweza kuelewa mshambuliaji wa Mkongomani, Cesor Manzoki alikuja kufanya nini katika mkutano mkuu wa Simba? Ni ngumu kujua. Ni mshambuliaji ambaye Simba ilimkosa katika dirisha kubwa lililopita kwa sababu aliuzwa kwenda China.
Aliibuka katika ukumbi wa uchaguzi wa...
Anaandika Edo Kumwembe... ✍️
Ninachohisi ni kwamba sio kwamba huyu Mrembo na wenzake wanamtaka Dejan...nadhani wamemuweka katika mtego kwamba yeye ndiye avunje mkataba ili wasimlipe.
ndo maana wakatoa ile taarifa. Akili nzuri. Mzungu sasa avunje tu mwenyewe. Na kama ikitokea hivyo itabidi...
Haji Manara naye na uchambuzi wake
Hajis Manara, "Muitaliana Roberto Baggio alifunga goli kama hili kwenye Seria A Msimu wa 1991/92 na liliimbwa sana hilo goli duniani".
George Hagi, Mromania Star zaidi katika football na aliyetamba sana World Cup ya 1994 kule USA, alifunga goli kama hilo...
Mzalendo nambari moja nchii hii mwenye uchungu kuliko watanzania wote. Mchumi grade A, anayepambana kwa hali na mali kuwatoa watanzania kwenye umaskini, anayelia machozi ya damu akiwaona maskini field marshall Mwigulu aliteua mabalozi watatu wa kodi kuelimisha watanzania.
Hamisa Mobetto, Mbwana...
SIMBA wameileta timu nyingine kutoka Afrika Kusini ambayo ilikuwa haijawahi kugusa ardhi ya Tanzania. Mamelodi Sundowns wamewahi kugusa hapa. Manning Rangers wamewahi kugusa hapa. Santos wamewahi kugusa hapa.
Zilibaki Kaizer Chiefs na Orlando Pirates tu. Timu mbili kubwa Afrika Kusini. Moja ni...
TV & RADIO PERSONALITY SPORTS JOURNALIST @wasafitv, Edo Kumwembe. Ametoa ya moyoni kuhusu Lion Messi baada ya kubeba ballon d'Or ya 7, nami BlackPanther kwa upande wangu nasema hivi "Yuko sahihi na wala hajakosea hata kidogo bwana Edo" ingawa kwangu mimi bado nitaendelea kuwakubali (Lion Messi...
Mchambuzi wa michezo wa kituo cha Wasafi Fm, Edo Kumwembe amejikuta akimjibu Mtangazaji mwenzake Zembwela kuwa Unyonge ni ujinga na sio sifa!
Hiyo ni baada ya Zembwela kupost picha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, hayati JPM kuwa "Wanyonge tutakukumbuka" ndipo Edi alipomjibu "Unyonge sio sifa...
JICHO LA MWEWE: Haji Manara ni ‘Malaika au Shetani’?
By Edo Kumwembe
HAJI Manara anaingia katika rekodi ya aina yake nchini. Rekodi ambayo unaweza kuiweka katika kitabu cha rekodi ya maajabu ya dunia cha Guiness. Anakuwa kiongozi wa kwanza kukatisha boda baina ya klabu mbili kubwa nchini...
Na Edo Kumwembe
Mpaka pale tutakapopata sababu ya ukweli ni kipi kimewarejesha Yanga haraka hapa Tanzania kwa sasa tukubaliane na mambo yafuatayo.
1. Yanga wamekosa uzoefu (experience) ya safari za Kimataifa hapa tunazungumzia uongozi kutokuwa na uzoefu wa kujua logistics za mambo mbalimbali...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========...
Enzi niko sekondari nilikuwa napata marks za juu somo la English ila kuongea ilikuwa shida.
Sasa huyo kumwembe nimefuatilia makala zake kwenye mitandao na gazetini yuko vizuri.
Sababu inaonekana huwa anafanya research kabla ya kuandika, lakini kwenye TV na radio si mzuri, hana sauti, anakosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.