edouard mendy

  1. Christopher Wallace

    Edouard Mendy: Namfananisha Haaland sawa na Banteke wa Crystal Palace

    Golikipa wa Chelsea, Edouard Mendy anamfananisha mshambuliaji mpya wa Man City sawa na Mshambualiaji wa Crystal Palace, Christian Benteke. Kwamba Haaland hana tofauti yoyote na Benteke hii dharau, mimi naitunza hii kauli ili uko mbele ya safari nije niirejee...
  2. pwilo

    Nini kipo nyuma ya watu maarufu na kesi za kubaka?

    Habari zenu wadau, Kwa siku za karibuni kumekuwa na mfululizo wa kesi za kubaka hasa kwa watu maarufu hususani wachezaji mpira na wasanii. Inawezekana ikawa madai yao ni ya kweli au kuna kitu nyuma ya matukio haya wengi wakihusisha na ile dini inatajwa kuwa ya siri kwamba ukikataa au kuenda...
  3. C

    Edouard Mendy vs Mohamed Salah Mchezaji bora wa Mwaka Afrika nan anastahili?

    NAWEKA MJADALA MEZANI: Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?
  4. H

    Edouard Mendy aweka record hii ya kushangaza

    Goalkeeper Bora wa mwaka wa Uefa wa msimu uliopita anayechezea timu ya Chelsea Edouard Mendy na raia wa Senegal ameweka record hii tangu ajiunge na Mabingwa hao wa Ulaya 61 Mechi alizocheza 37 clean sheets alizopata (kwenye hizo mechi alizocheza) 34 magoal aliyoruhusu (kwenye hizo mechi...
Back
Top Bottom