edson kilatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakili Edson Kilatu: Hatuombi kibali cha kuandamana. Tunatoa taarifa, kibali ni upotoshaji

    Wakuu, Kuna elimu ya hela yote imetolewa hapa na Wakili Edson Kilatu kuhusu masuala ya maandamano Wakili Edson Kilatu kupitia Wakili TV akiwa anaelimisha kuhusu namna sheria inavyosema juu ya maandamano, amesema hakuna sheria inayomtaka mwananchi kuomba kibali cha maandamano, bali kutoa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wakili Edson Kilatu anayedaiwa kugushi nyaraka za Mama Komu kujitoa ktk kesi ya wadhamini wa Chadema akanusha tuhuma dhidi yake

    ..Maelezo ya Wakili Edson Kilatu kuhusu tuhuma za kugushi nyaraka za Mdhamini wa Chadema kujitoa katika kesi. ..itakumbukwa kwamba Jaji anayesikiliza kesi hiyo ametoa maagizo kwamba Wakili huyu achukuliwe hatua na jeshi la Polisi...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Edson Kilatu: Ofisi ya Msajili ilikuwepo kwenye Uchaguzi Mkuu CHADEMA, iweje aseme akidi haikutimia? Na alisifu demokrasia!

    Wakili Edson Kilatu ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera amesema kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa anaongozwa na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, sura namba 258 ya sheria za Tanzania, ambayo inampa mamlaka ya kufanya uangalizi katika chaguzi za ndani za vyama vya siasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…