Wakili Edson Kilatu: Hatuombi kibali cha kuandamana. Tunatoa taarifa, kibali ni upotoshaji

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Kuna elimu ya hela yote imetolewa hapa na Wakili Edson Kilatu kuhusu masuala ya maandamano

Wakili Edson Kilatu kupitia Wakili TV akiwa anaelimisha kuhusu namna sheria inavyosema juu ya maandamano, amesema hakuna sheria inayomtaka mwananchi kuomba kibali cha maandamano, bali kutoa taarifa tu

"Mara nyingi kumekuwa na upotoshaji. Wengi wanaamini ukitaka kwenda kuandamana unapata kibali. Hatupati kibali kwa ajili ya kuandamana. Ukitaka kuandamana unatoa taarifa. Na tunatoa taarifa kwa ajili ya nini. Ili tuweze kupatiwa ulinzi"

Sasa kama unatoa taarifa ili upatiwe ulinzi, since majibu yanaweza kuwa YES au NO, kwa kuzingatia uwepo wa watoa ulinzi si ndio kibali chenyewe hicho au mnataka iwe nini? Na kama hivyo ni sahihi kuwa mnatoa taarifa ili kupatiwa ulinzi, ni akili gani inyowatuma kudhani kuwa siku kama ya uchaguzi ambapo sehemu kubwa ya vyombo vya ulinzi na usalama vitatumika kwenye zoezi hilo na nyie kufanya maandamo ambaya pia yatahitaji ulinzi. Nyie ni wafanya vurugu na ni haki yenu kupewa kinachowastahili.
 
Kwa matumiz yako ya " since" kwenye paragraph yako moja hiyo kama wew sio mwalimu basi umeanza English course muda si mrefu
 
Nini wanachostahili? Kifo?
 
Wewe una tatizo la kuelewa kiswahili ama?

Amefafanua kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao. Unapopeleka notice polisi kuwa utaandamana ni sababu ya kuweka awareness tu kwamba kuna zoezi litafanyika eneo flani hivyo polisi wakiwaona wasishangae maana notice tayari wanayo.

Hio one-way communication kama broadcast tu kinachotarajiwa toka kwao ni kutekeleza majukumu kwa kupanga ulinzi kwenye hio shughuli. Hayo maswala ya kukubali au kukataa ni sababu ya mfumo kandamizi wa mboga mboga PP.
 
Pole sana.

Wewe ni Mrundi? Inaonekana hujui Kiswahili.

Tafuta kamusi ya Kiswahili, ujifunze maana ya kutoa taarifa, na maana ya kuomba kibali. Kwa kifupi, maneno hayo hayakaribiani kabisa kwa namna yoyote.

Ile sheria ya maandamano, wanaotaka kuandamana wanatoa taarifa polisi ili wawape ulinzi, lakini kama polisi hawawezi kutoa ulinzi, waandamanaji wanaweza kuandamana bila ulinzi, kama wakiona hakuna hatari yoyote. Ni sawa na wewe ukitaka kupeleka hela yako bank, kama ipo nyingi, unaweza kuomba ulinzi wa polisi, lakini ukikosa, haimaanishi huwezi kuipeleka bank. Ni wewe ndiye utakayepima mazingira yaliyopo, na kisha kuamua usubirie mpaka siku utakapopata ulinzi wa Polisi au utafute njia nyingine zitakazokuhakikishia usalama wa pesa yako wakati ukienda bank.
 
waandamanaji wanaweza kuandamana bila ulinzi, kama wakiona hakuna hatari yoyote
Ni nani mwenye uwezo wa kujua iwapo kuna hatari au hakuna? Je iwapo polisi wakiwaambia kuna hatari, Sheria inasemaje. Wataandamana au hawataandamana?
 
Wewe una tatizo la kuelewa kiswahili ama?

Amefafanua kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao. Unapopeleka notice polisi kuwa utaandamana ni sababu ya kuweka awareness tu kwamba kuna zoezi litafanyika eneo flani hivyo polisi wakiwaona wasishangae maana notice tayari wanayo.

Hio one-way communication kama broadcast tu kinachotarajiwa toka kwao ni kutekeleza majukumu kwa kupanga ulinzi kwenye hio shughuli. Hayo maswala ya kukubali au kukataa ni sababu ya mfumo kandamizi wa mboga mboga PP.
Sawa, mimi sijui kiswahili ila nawe kwanini mzito kuelewa? Ukipeleka taarifa ili upate ulinzi huoni kama ni subjective ya kupewa au kutopewa? Je usipopewa kwasababu za kutokuwepo hao walinzi kwa muda huo na iwapo kuna hatari ya kiusalama, sheria inasemaje. Maandamo yaendelee au yapangiwe tarehe/muda mwingine?
 
Kwa matumiz yako ya " since" kwenye paragraph yako moja hiyo kama wew sio mwalimu basi umeanza English course muda si mrefu
Kwamba umeona hilo tu? Majibu ni ndiyo. Niko kwenye English course kwa Ras Simba siku ya 6 leo, naamini siku moja nitajua tu.
 
Sawa, mimi sijui kiswahili ila nawe kwanini mzito kuelewa? Ukipeleka taarifa ili upate ulinzi huoni kama ni subject ya kupewa au kutopewa? Je usipopewa kwasababu za kutokuwepo hao walinzi kwa muda huo na iwapo kuna hatari ya kiusalama, sheria inasemaje. Maandamo yaendelee au yapangiwe tarehe/muda mwingine?
Wasipokupa ulinzi hilo haliwi tatizo lako tena wala sio kigezo cha wewe kushindwa kutekeleza majukumu yako ya kikatiba.

Mbona watu wanaamka na kwenda kwenye majukumu yao ya kila siku bila hata mgambo kuwasindikiza. Je, unahitaji kibali kufanya movement yako ya kila siku au unaombaga kibali cha kutembea ndani ya nchi yako?

Wale walevi wanaofanya jogging za kila weekend huwa wanaomba kibali kwa nani?

Kuhusu hatari ya kiusalama siwezi izungumzia sana ila naimani nchi iko salama na itaendelea kuwa salama tu regardless ya watu kuandamana au kutoandamana. Let people exhale then life will go on.
 
Wale walevi wanaofanya jogging za kila weekend huwa wanaomba kibali kw
Kwanza tuombe radhi wazee wa jogging maana sote sio walevi. Tukirejea kwenye mada, naomba kuelimishwa zaidi, je sheria ya kutoa taarifa kwa ajili ya kupewa ulinzi pia inawahusu wafanya jogging?

Pili, kwakuwa msingi wa sababu za kutoa taarifa ni za kiusalama, je iwapo hao wanaohusika na ulinzi kwa ajili ya usalama wakisema kuna viashiria vya hali kutokuwa salama, maandamano yaendelee au Sheria inasemaje?
 
Sasa kama unatoa taarifa ili upatiwe ulinzi, since majibu yanaweza kuwa YES au NO, kwa kuzingatia uwepo wa watoa ulinzi si ndio kibali chenyewe hicho au mnataka iwe nini? Na kama hivyo ni sahihi kuwa mnatoa taarifa ili kupatiwa ulinzi, ni akili gani inyowatuma kudhani kuwa siku kama ya uchaguzi ambapo sehemu kubwa ya vyombo vya ulinzi na usalama vitatumika kwenye zoezi hilo na nyie kufanya maandamo ambaya pia yatahitaji ulinzi. Nyie ni wafanya vurugu na ni haki yenu kupewa kinachowastahili.
So ni akili gani inayowatuma kufikiri wanaweza kuzuia maandamano nchi nzima siku hiyo lakini wakashindwa kutoa ulinzi

Nafikiria kutoa ulinzi kungetumia police wachache zaidi kuliko kuzuia
 
Kwanza tuombe radhi wazee wa jogging maana sote sio walevi. Tukirejea kwenye mada, naomba kuelimishwa zaidi, je sheria ya kutoa taarifa kwa ajili ya kupewa ulinzi pia inawahusu wafanya jogging?
Kumradhi mkuu, sheria inamhusu yeyote anayetumia resource za serikali. Iwe ardhi, anga au bahari kufanya mass use of the resource.

Mkishakuwa kikundi cha watu tu lazma sheria iwahusu.
 
So ni akili gani inayowatuma kufikiri wanaweza kuzuia maandamano nchi nzima siku hiyo lakini wakashindwa kutoa ulinzi

Nafikiria kutoa ulinzi kungetumia police wachache zaidi kuliko kuzuia
Kwasababu kubomoa ni rahisi kuliko kujenga.

Pili, najribu kukubali kuwa maandamano hayo yana lengo la kudai haki na ukombozi, je sababu hizo mbili zinaleta ulazima wowote wa kwamba lazima maandamano hayo yafanyike tarehe 29 Oktoba tu? Kwamba mambo hayo hayawezi kudaiwa kwa tarehe nyingine yoyote?
 
Kumradhi mkuu, sheria inamhusu yeyote anayetumia resource za serikali. Iwe ardhi, anga au bahari kufanya mass use of the resource.

Mkishakuwa kikundi cha watu tu lazma sheria iwahusu.
Asante sana, naomba majibu y sehemu ya pili ya swali langu.
 
Back
Top Bottom