Wakili Edson Kilatu: Hatuombi kibali cha kuandamana. Tunatoa taarifa, kibali ni upotoshaji

Wakili Edson Kilatu: Hatuombi kibali cha kuandamana. Tunatoa taarifa, kibali ni upotoshaji

So ni akili gani inayowatuma kufikiri wanaweza kuzuia maandamano nchi nzima siku hiyo lakini wakashindwa kutoa ulinzi

Nafikiria kutoa ulinzi kungetumia police wachache zaidi kuliko kuzuia
Pia ungemuuliza je, kama kuandamana ni haki kikatiba na kupiga kura ni haki kikatiba kwanini kuwe na changamoto kwa mtu ku exercise haki zote kwa hiari yake?
 
Ofcourse, hakuna sheria inayopingana na hilo. Haijawa stipulated kwenye katiba.
Kwa mujibu wa maelezo yako hapo juu, watu kukusanyika na kufanya jambo lao ni haki yao ya kikatiba. Je timu nne za mpira wa miguu zinaweza kutumia haki yao ya kikatiba na kukusanyika katika uwanja mmoja wa mpira na kucheza mechi mbili tofauti katika muda mmoja?
 
Kwasababu kubomoa ni rahisi kuliko kujenga.

Pili, najribu kukubali kuwa maandamano hayo yana lengo la kudai haki na ukombozi, je sababu hizo mbili zinaleta ulazima wowote wa kwamba lazima maandamano hayo yafanyike tarehe 29 Oktoba tu? Kwamba mambo hayo hayawezi kudaiwa kwa tarehe nyingine yoyote?
Kumbuka pia trh 29/10 ni siku ya kuzaliwa jiwe la pembeni lililo washinda wahuni mpaka wakaamua kulipoteza kimwili ila kinafsi lipo nasi. HAPPY BIRTHDAY JOHN POMBE MAGUFULI. MO29 HAPA KAZI TU
 
Sawa, mimi sijui kiswahili ila nawe kwanini mzito kuelewa? Ukipeleka taarifa ili upate ulinzi huoni kama ni subjective ya kupewa au kutopewa? Je usipopewa kwasababu za kutokuwepo hao walinzi kwa muda huo na iwapo kuna hatari ya kiusalama, sheria inasemaje. Maandamo yaendelee au yapangiwe tarehe/muda mwingine?
Usitumie maneno ya kiingereza katikati ya msitu wa maneno yasio na muunganiko mwalimu
 
Kwa mujibu wa maelezo yako hapo juu, watu kukusanyika na kufanya jambo lao ni haki yao ya kikatiba. Je timu nne za mpira wa miguu zinaweza kutumia haki yao ya kikatiba na kukusanyika katika uwanja mmoja wa mpira na kucheza mechi mbili tofauti katika muda mmoja?
Mfano wako hauko sawa, polling stations ziko scattered katika kila wilaya na vitongoji vyake. Kuna pool ya watu katika kila kitongoji ambapo wapo wenye hiari ya kwenda kwenye polling stations na wengine wakawa wako majumbani ila still kuna room ya walioko nje ya nyumbani bila kwenda kwenye hizo polling stations.

Ukizungumzia match za mpira, provided kila moja inachezwa katika uwanja wake zote zinaweza kuanza at the same time.
 
Mbona kwenye yale maandamano yao ya mawakili TLS wote hawakutoka wakajificha juu ya dari ?
 
Mfano wako hauko sawa, polling stations ziko scattered katika kila wilaya na vitongoji vyake. Kuna pool ya watu katika kila kitongoji ambapo wapo wenye hiari ya kwenda kwenye polling stations na wengine wakawa wako majumbani ila still kuna room ya walioko nje ya nyumbani bila kwenda kwenye hizo polling stations.

Ukizungumzia match za mpira, provided kila moja inachezwa katika uwanja wake zote zinaweza kuanza at the same time.
Nilianza kwa kukuuliza kwa busara na uelewa wako, je haki ya kuandamanq ni lazma ifanyike tarehe 29 Oktoba tu. Yakifanyika siku nyingine ujumbe kama ujumbe wa maandamano yenu ulivyo hauwezi kufika au kutimiza lengo husika? Je wewe binafsi unaamini kabisa kuwa ni busara kwa mambo hiyo mawili kufanyika siku moja?
 
Back
Top Bottom