Mtu yeyote mwenye akili anajua kikao cha marais wa zamani wa TLS cha kujadiili haki za uchaguzi ni kikao cha Chadema tu, hakuna lingine.
Kama marais wa zamani mbona wakili Edward Hossea hakuwepo?
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewasili na kutimiza Haki yake ya Msingi ya Kikatiba ya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao Leo Novemba 27, 2024 unafanyika Tanzania Bara.
DC Mpogolo amepiga kura yake katika Mtaa wa Karume uliopo Kata ya Ilala, akiwa hapo amewahimiza...
Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia Wizara ya Ujenzi.
Akizungumza Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam, katika Mkutano wa Tano wa Mwaka wa...
C&P from Face Book.
THE RIGHT THING AT THE WRONG PEOPLE, IDIOT!
Na Bollen Ngetti
0748 092092
KUNRADHI kwa kuteua kichwa cha andiko hili kuwa katika lugha ya kikoloni. Shabaha ni namna tu ya kufikisha ujumbe uliokusudiwa.
Naam! Nilikuwa miongoni mwa mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa...
https://www.youtube.com/watch?v=s1K5o6UUZqU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha Edward Moringe Sokoine (Maisha na Uongozi Wake) kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam, leo tarehe 30 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya...
Injili lazima iendeleeeee....
PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂
ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH
BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇
"TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂
ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH
BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇
"TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
Wasalaam wanabodi..
Nchi hii tangia tumepata Uhuru kumekuwa na karama ya kupata viongozi mbalimbali wenye upeo, weledi na uwezo tofauti tofauti. Pia wapo viongozi ambao walijifunza aina ya uongozi na siasa kupitia role models wao. Kwa sasa tunae Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye aina ya siasa na...
Baharini kuna mali nyingi sana sema tu inakuwa ngumu sana kuzifikia. Kuna stori ya jamaa mmoja aitwaye Edward Teach ama Blackbeard kama alivyokuwa akijulikana.
Mchizi huyu alizaliwa mwaka 1680 na kufariki 1718. Kwa miaka hiyo huyu jamaa ndiye aliyekuwa akiongoza kwa kufanya wizi mkubwa humo...
MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ATOA DARASA LA SHERIA KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI NCHINI
"Mhe. Jerry Silaa tangu umeteuliwa umefanya kazi kubwa hasa kupitia Kliniki ya Ardhi, endelea hivyo hivyo kwani matarajio ya Mheshimiwa Rais na wananchi walio wengi wanataka migogoro ya Ardhi iishe na tuwasikilize...
MHE. EDWARD LEKAITA, Mbunge wa Jimbo la Kiteto Afanya Ziara Kata ya Kibaya na Lengatei
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita amefanya ziara katika Kata ya Kibaya na Lengatei na kukutana na Makundi mbalimbali ikiwemo Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa MaishaPlus...
MHE. Edward Ole Lekaita Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
"Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima kubwa aliyotupa majimbo kupitia miradi ya maendeleo. Jimbo la Kiteto tumepata shule mpya...
Mfahamu Sokoine Moringe
Edward Sokoine Moringe (Agosti 1, 1938 - Aprili 12, 1984).
Alikuwa mwanasiasa maarufu wa Tanzania ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu wa Tanzania kwa vipindi viwili kutoka Monduli, Tanzania.
Alijiunga na Chama cha Tanganyika African National Union (TANU) mwaka 1961...
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Ambulance 🚑 mpya kwa uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Kiteto na kuwataka kulitunza ili liwanufaishe.
Vilevile, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Mifuko 900 ya Saruji kwa Kata ya Bwawani (Mifuko 50), AMCOS Matui...
Mhe Laigwanan. tumekupumzisha katika nyumba yako ya milele lakini kama mfuasi mwaminifu wa Bwana wetu Yesu Kristo tuna imani utafufuliwa mnamo marejeo ya Kristo parapanda itakapolia
Tanzania imempoteza kiongozi shujaa,mzalendo wa kweli,mchapa kazi ,mcha Mungu na kiongozi jasiri na asiyependa...
Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi?
Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole?
Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe.
Lakini Inawezekana pia mfumo...
Edward Ngoyai Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgao wa umeme wala usanii wa treni za umeme. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu mzito kama Lowassa, kuna makundi matatu hujitokeza;
1. Wanaolia
2. Wanaofurahia
3. Wasiojua kama walie au wafurahie.
Makundi yote matatu tunayo...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye shughuli kuaga mwili wa Edward Lowassa inayofanyika leo tarehe 2/23/2024 katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
https://www.youtube.com/live/aF_0GKdRJYI?feature=shared
Salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye...
Haikuwa Jambo rahisi kwa CCM kumshuhudia Kiongozi mkubwa ngazi (Waziri Mkuu) kukihama CCM na kujiunga na Chama cha upinzani CHADEMA.
Usiwaone leo CCM msibani wanalia na kupishana kutoa maneno mazuri kwa Mzee Lowassa ukajua hadi roho zao ni nzuri, HAPANA.
Ukiondoa vicheko, tabasamu na maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.