Licha ya kuwa Yanga haijapata kupoteza mchezo wa kiushindani msimu huu wa 2020/21, bado kuna haja na sababu ya kuhakikisha tunaimarisha safu ya ulinzi ili kuhakikisha tunapunguza idadi ya magoli ya hovyo hovyo tunayo fungwa.
Katika eneo pekee la ulinzi ambako kuna shida ni eneo la mabeki wa...
Wakuu,
Yapata takribani miaka 36 tangu waziri mkuu Edward Moringe Sokoine afariki kwa ajali ya gari huko Wami-Dakawa akitokea Dodoma baada ya kuahirisha bunge tarehe 12/4/1984 akielekea Jijini Dar Es Salaam. Eneo linalodaidaiwa ndipo ajali ilitokea baada ya gari alilokuwa akisafiria kugongana...
Hapo ni baadhi ya Ma Chifu wa enzi hizo. Wanaonihusu hawaonekani vizuri. Kwenye maktaba yangu nahitaji kuweka mambo sawa sasa
bahati mbaya picha imechakaa. Nillipata jamaa yangu alileta kazini nimfanyie scanning na kuikuza.
Humu inawezekana kuna mdau anayopicha yenye yenye mwonekano mzuri...
Wakuu nimetafakari kwa kina jinsi huyu mgombea wa CCM kwa ngazi ya Urais alivyotengwa na watu makini na wenye mvuto katika siasa za Tanzania hasa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na sasa Balozi nchini Sweden Dkt. Slaa na aliyewahi kuwa Luten Kanali Na waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai...
Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'.
Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana ukwasi lkn hana bei, anajiamini hasa eneo lake la kujidai la sheria tofauti na Lowassa, hivyo ana...
Mwezi April tarehe 12 mwaka 1984 majira ya jioni, watanzania tulitangaziwa habari mbaya za kifo cha Edward Moringe Sokoine ambae alikuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mtangazaji wa habari hizo alikuwa ni hayati baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere.
Leo ni miaka 36 imepita...
Mzee Paul Kimiti ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali nchini ikiwemo ubunge, ukuu wa mkoa na uwaziri kuanzia enzi za mwalimu Nyerere amemmwagia sifa za kutosha Rais Magufuli.
Mzee Kimiti anasema katika kupambana na wahujumu wa uchumi wa taifa letu Dr Magufuli anafanana sana na aliyekuwa...
Familia Ya Marehemu Edward Moringe Sokoine, Inasikitika Kutangaza Msiba wa Lazaro Edward Sokoine Kilichotokea Leo Alfajiri 28/03/2020 Jijini Dar Es Salaam.
Mwili Wa Marehemu Unatarajiwa Kuwasafirishwa kwenda Arusha Monduli Juu Siku Ya Jumatatu, Na Mazishi Yatafanyika Siku Ya Jumanne Bwana...
Heshima mbele wakuu,
Binti yangu yupo darasa la saba kwa sasa. Ninaanza kufanya prior arrangement mapema kutafuta shule nzuri ya sekondari kwa mtoto wa kike
Ninachohitaji:
1. Iwe nzuri kitaaluma.
2. Kimazingira.
3. Kimalezi.
I prefer shule inayoendeshwa na taasisi ya kikatoliki. Mtoto anasoma...
Awali ya yote napenda kukiri kwamba sijatumwa wala kutumika na yeyote kuandika juu ya hii mada, ni maoni na mtazamo wangu binafsi na pengine ni mtazamo wa wengine wengi wanaomtazama Lowassa kama ninavyomtazama mimi.
Katika ulimwengu wa siasa, jambo dogo linaweza kujadiliwa kwa marefu na mapana...
Tukiendelea na mijadala mingine nimeonelea niwashirikishe video hii. Nimeulizwa mara kwa mara kuhusu video/ audio ya Edward Sokoine. Katikati upekuzipekuzi wangu nimekutana na hii. (Kuna mtu aliniuliza chemba kuwa angependa kumuona na kumsikia Sokoine) badala ya kusoma tu habari zake. Hii ni...
Habari zenu,
Je, kwa bahati nzuri nani anayo sauti ya Sokoine akitangaza sheria ya nguvu kazi ya 1983 bungeni.
Nahitaji sauti ya hii hotuba. Kwa aliyekuwa nayo kuna kipooza koo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.