Mara baada ya kuahirishwa kikao cha Bunge jana jioni, Waziri Mkuu aliitisha kikao cha Mawaziri na Manaibu wao akidai ni kikao cha KIKAZI.
Katika kikao hicho aliwaambia kwamba serikali ilikua na nia njema katika suala zima la Richmond na kwamba mawaziri wanaothubutu kushabikia ripoti ya Richmond...
Hapo nyuma nilielezea kuwa Tanzania government procurement is very complicated na complication yenyewe inaletwa na mambo ya rushwa. Serikali wanawajua GE, Wartsila, CAT, Mits, nk. Hizi kampuni zina special working relationship na governments worldwide. This is because Power/Enegy sector is a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.