Mhe Laigwanan. tumekupumzisha katika nyumba yako ya milele lakini kama mfuasi mwaminifu wa Bwana wetu Yesu Kristo tuna imani utafufuliwa mnamo marejeo ya Kristo parapanda itakapolia
Tanzania imempoteza kiongozi shujaa,mzalendo wa kweli,mchapa kazi ,mcha Mungu na kiongozi jasiri na asiyependa...