edward

  1. Fredrick Edward Lowassa aziwezesha Vifaa vya TEHAMA shule za msingi nne

    MBUNGE MHE. FREDRICK LOWASSA AZIWEZESHA VIFAA VYA TEHAMA SHULE ZA MSINGI NNE Mbunge wa Jimbo la Monduli Mkoa wa Arusha, Mhe. Fredrick Edward Lowassa akishirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Mhe. Joshua Nassari wamegawa vifaa vya TEHAMA kwa Shule za Msingi Nne, Shule ya Msingi Losimongori...
  2. R

    Bi. Sophia Edward Mjema sioni kama atadumu kwenye nafasi ya uenezi kuelekea 2025

    May be CCM imekosa watu sahihi sehemu sahihi: unapozungumzia Katibu wa kueneza (Mwenezi) tunatarajia awe mtu mwenye uwezo wakueneza, Mtu wakuweka mambo kichwani (anasoma machache anazungumza mengi) , mwenye maarifa na anayeifahamu nchi kijiografia na kimtawanyiko WA silka na Tabia. Huyu mama...
  3. Yupo wapi Edward Lowassa?

    Waku heri ya mwaka mpya. Kwa upande wangu nimeuanza mwaka vizuri kabisa. Lakini kuuanza mwaka pasipo kujua hali ya nguli huyu wa siasa za Tanzania hapana Kwa kweli. Mwenye taarifa kuhusu hali ya jabali hili aniambie, yupo wapi na hali yake kiafya kiujumla ikoje? Ni Kwa Nia njema Tu, maana...
  4. Edward Snowden reveals why and how the CIA creates fake news and disseminates it

    Sunday, December 04, 2022 Remember Snowden? He’s the man who revealed that the US government says it’s not a crime to spy on the American people, only a crime to expose that illegal and unconstitutional spying. Well, forty years ago, fake news and disinformation coming from the US government...
  5. TAA Gavana Edward Twining na Serikali ya Malkia Elizabeth, 1953

    TAA, GAVANA EDWARD TWINING NA SERIKALI YA MALKIA ELIZABETH 1953 Baada ya kupata taarifa ya kifo cha Malkia Elizabeth nimekifungua kitabu cha Abdul Sykes (1998) kumtafuta Malkia. Nimekuta nimemtaja Malkia Elizabeth sehemu kadhaa ndani ya kitabu kama mtawala wa Tanganyika. Tuanze na pale Julius...
  6. Asante TBC FM: Leo nimeisikia sauti ya Hayati Edward Moringe Sokoine

    Habari za Asubuhi wakuu, hongera kwa maandalizi safi kwa ajili ya sensa na Makazi ya Mwaka huu hapo kesho 23/08/2022. Leo asubuhi muda kati ya saa mbili mpaka saa tatu. Nina furaha sana, kwa kufanikiwa kusikia sauti ya Hayati E. M. Sokoine kupitia Redio yetu ya Taifa ya TBC FM. Asante sana TBC...
  7. O

    SoC02 Muda wangu Yatima

    Karibu katika story hii Kali iliyo jaa mafunzo makubwa ndani yake .. Iletwayo kwako na DAVID EDWARD CHAZ Mwenye kupatikana kwa cm no 0621731669 WhatsApp no 0689433218 Jina la stori likiwa kama MUDA WANGU YATIMA UTANGULIZI Maisha ni kama dunia inavyo jizingusha...
  8. Kenya 2022 Uchaguzi Kenya unatukumbusha mtanange wa Hayati John Magufuli vs Edward Lowassa

    Odinga atapata kura sio zaidi ya milioni 8. William Ruto kura si zaidi ya milioni 6 Ndivyo itakavyotokea. Hata kwa akina Magufuli vs Lowassa ilitokea hivi. Lets wait and see!
  9. Aliyekuwa Askofu KKKT, Dkt. Edward Mwaikali ahamia Kanisa la KKAM, ugomvi wa mali waibuka

    Wiki moja baada ya kuvuliwa madaraka, aliyekuwa askofu wa Dayosisi ya Konde ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Edward Mwaikali na baadhi ya wachungaji na waumini wamejitenga na kanisa hilo. Uamuzi huo ulitangazwa Juni 12, 2022, katika Kanisa Kuu la Ruanda Jijini Mbeya na Dkt...
  10. E

    Navyomkumbuka Edward Moringe Sokoine-alijiuuzulu Uwaziri Mkuu ili kwenda kusomea degree ya masters Yugoslavia

    Alijua wazi kabisa huwezi kufanya mambo mawili magumu kwa wakati mmoja, akaona aache cheo kikubwa kabisa cha uwaziri mkuu ili kwenda kutimiza adhima yake ya kujiendeleza kielimu huko nchini Yugolavia ya wakati ule. Wanzetu hawa utaona leo ni waziri na kesho amedoctorate sasa huwa utafiti...
  11. Kitu gani kilikuwa kinamfanya Magufuli amheshimu Edward Lowassa?

    Ni nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa. Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au...
  12. Dr. Edward Mwaikali avuliwa Uaskofu Dayosisi ya Konde KKKT

    Nimepata tetesi kuwa katika Mkutano Mkuu wa Dayosisi ya Konde KKKT, ulioitishwa na Mkuu wa Kanisa, leo 22/03/2022, aliyekuwa Askofu wa Dayosisi ya Konde Dr. Edward Mwaikali , amevuliwa Uaskofu. ==== Mkutano mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde umemuondoa...
  13. Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

    Wakuu, Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili. ======== UPDATE: Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Taarifa kutoka kwa...
  14. F

    mwalimu edward

    asi mwalimu Edward alipomaliza kuandika maswali, akakaa sehemu yake kisha akawa anasubiri mwanafunzi aliye maliza apeleke daftari ili amsahishie. Lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida akashangaa kuona mtoto mmoja akijipaka mate kichwani...!!! Mwalimu Edward alihamaki sana na kuinuka kwa hasira...
  15. Mauwaji ya Wakatoliki chini ya utawala wa Mfalme Henry VIII, Edward I na Elizabeth I

    Catholic persecution in the reigns of Henry VIII, Edward VI and Elizabeth I: By: Elenah Zwiegers Without doubt, the Tudor monarch most associated with religious persecution is Queen Mary I. Popularly bestowed upon Mary, is the epithet “Bloody Mary”, a reputation which I feel is unfair (as...
  16. Jicho la siasa: Hayati John Pombe Magufuli ndiye aliyerithi mafuriko ya Edward Lowassa. Nani tena kuyarithi mafuriko hayo!?

    JICHO LA SIASA:DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE ALIYERITHI MAFURIKO YA MH EDWARD LOWASSA,NANI TENA KUYARITHI MAFURIKO HAYO!? Leo 13:45hrs 25/04/2021 Muonekano,maamuzi yao,mitazamo yao kwa taifa la Tanzania,na sampuli ya utofauti kabisa katika siasa na uongozi ndivyo vilivyowainua watu na...
  17. Edward Lowassa na Mkewe wafika kuhani Msiba wa Dkt. Magufuli

    Hivi ndivyo ilivyokuwa
  18. Q

    Dkt. Edward Hosea ashinda urais wa Tanganyika law society (TLS) , apata kura 293 na Flaviana Charles kura 223

    Waliochuana kuwania urais ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hosea, wakili maarufu, Albert Msando, Flaviana Charles, Shehzad Wall na Rais wa zamani wa chama hicho, Francis Stolla. Matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa TLS Edward Hosea 293...
  19. L

    Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa TLS Dkt. Edward Hosea na mwenzake wamwaga fulana kwa wajumbe

    Uchaguzi wa rais chama cha wanasheria Tanzania (TLS) unaofanyika jijini Arusha umeshika kasi kukiwa na wagombea watano ila nimeona watu kadhaa wakiwa wamevaa t-shirt nyeupe zikiwa na picha za wagombea tofauti mmojawapo akiwa ni Dr. Hosea na Shehzad Wall. Sijajua kwa nini wagombea hawa wawili...
  20. Dkt. Edward Hosea anatafuta nini Urais wa TLS?

    Kuna taarifa kwamba Mzee Edward Hosea ametia nia ya kugombea Urais wa Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS), bila shaka kama Mwanasheria anayo haki ya kugombea Cheo hicho. Bali kwa mtu aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa TAKUKURU kuja kuomba kura ili awe Rais wa TLS, ni lazima watu wenye akili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…