Habari wana JF!
Naombeni kwa anaejua font zinazotumika kwenye risiti za EFD,
Katika pitapita za mitandaoni nimeona kuna Font inaitwa Bitmatrix E1; Hii inafanana sana na ile ya kwenye risiti za kielectroniki. Tatizo linakuja hiyo font inauzwa 99usd,
Kwa mwenye font ya aina hiyo au yenye...