Eti mnapongeza Mwenyekiti kwa kutoa majina:BearLaugh::BearLaugh:
Kama nani? Wajumbe mliokuwa mnayasubiri kwa hamu ili mkachinje wagombea kwenye kura?
Hiki kituo kibadilishwe tu jina ili watanzania wawe wanajue kuwa mpo kwaajili ya kutoa habari za chama, mambo mengine wakatafute kwenye vyanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.