Anachambua Mchambuzi wa Efm Tanzania, Wilson Oruma.
"Simba Sports jipangeni, mkiendelea Kusema Yanga Africa wamekutana na team dhaifu"
"Mtashangaa wanacheza Fainali ya CAF champions league next season. Hii Fainali ya CAFCC haiwezi Kuwaacha Yanga hivi hivi"
"Wamepata uzoefu Mkubwa, ambao...