Unaenda Morocco Kwa siku 10. Siku 4 ni safari ya kwenda na kurudi. Siku moja ni mapumziko. Siku 5 ni Pre-Season! Sio Bangi kweli hii?
Chanzo: Twita Akaunti yake.
Kwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu.
Nimeenda katika Kaburi la Bruce Lee, nimeenda alipouwawa Yule Mwafrika Floyd, zote Mimi ni Mtangazaji...
Waungwana salam, kichwa cha habari kinajieleza,
Kwasasa nchini Tanzania ni kipindi gani bora cha burudani kati ya: 1. Empire cha EFM kinachoendeshwa na B dozen na Jonijo 2. The Switch cha Wasafi FM kinachoendeshwa na The Real Ommy, Ammy Gal na mshana au 3. XXL cha Clouds FM cha kina mchomvu...
Wasalaam,
Haji Manara aliwakera wengi sana alipo diriki kuwaita waandishi wa habari hasa za michezo kuwa ni "takataka" kwakweli ni maneno yaliyo fikirisha sana wengi na wengi walioneshwa kukerwa sana na kitendo kile cha udhalilishaji kilicho fanywa na haji manara na wengi walitegemea hatua...
Jemedari Said ( Meneja wa Kipa Metacha Mnata ) mwenye 'Matatizo' sasa na Klabu yake ya Yanga SC katika Mtu ambaye huwa sisahau, najua Kukariri haraka na natunza Kumbukumbu kwa 100% Ubongoni ni Mimi GENTAMYCINE hivyo kwa 'Uwongo' wako ulioutoa leo Redioni nimeanza rasmi 'Kukupuuza' nawe japo...
" Ifike muda sasa tuambiane ukweli tafadhali. Yanga SC waache unafiki na kutaka Kuwahadaa Mashabiki wao kwani wameshakaa na Serikali pamoja na Simba SC na Kukubaliana tena hadi kwa Kusaini kuwa watacheza huo Mchezo baada ya Kuahirishwa na Serikali iweje leo wanajitokeza Watu wengine pembeni na...
Habari Wakuu,
Ninaomba msaada kwa wenye uelewa kwenye Masuala ya Ufunguzi wa kituo cha Radio.
Nina ndoto ya siku nyingi ya kuweza kumiliki kituo cha Radio ila kwa sasa ninataka nijipange ili itapofika Mwishoni mwa mwaka 2022 kama mungu akinijaalia uhai niwe nishafungua hii Radio Station...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.