Baada ya jana Yanga kushinda south Afrika imezua taharuki kwenye kipindi cha EFM ambacho pundit wote waliitabiria Yanga kupigwa kipigo cha mbwa mwizi south afrika
Swali ni kwamba wataongea nin????
Kwenye maisha tukubali kuwa na akiba ya maneno bin kazumari, geof leah hakuna aliyetweet chochote...