egypt

  1. P h a r a o h

    Je Pyramids zilikua na kazi gani ?

    the great pyramid of Giza tutumie great pyramid ( Piramidi kuu ) hii pyramidi imejengwa zaidi ya miaka 4700 iliyopita lakini inaacha maswali mengi zaidi kuliko majibu, maana kila unapojaribu kupata jibu unakutana na maswali zaidi kuhusiana na jibu lako, inavyoaminika hadi sasa ni kwamba...
  2. ngara23

    Simba watakutana na Al Masry ya Egypt

    Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅 Kimeumana Hii imeniuma, GSM anahujumu hadi huko CAFCC
  3. home is everywhere

    Msaada kupata visa za Egypt, Algeria na Morocco

    Hello Niko interested kutembelea nchi hapo juu za Africa kaskazini kwa utalii. Ningependa kujua visa za nchi hizo zinapatkana wapi kama kwenye mabalozi au evisa na kwa gharama gani? Niko Tanga, Tanzania Nb:Nimejaribu kuangalia website zao mtandaoni sioni details zaidi. Ningependa kwa wenye...
  4. Mi mi

    Baada ya Syria ya Assad Je, sasa ni zamu ya Egypt ya Sisi ? Movement ya kumtoa madarakani yahofiwa kuanza

    Baada ya utawala wa Assad kuangushwa Syria, yahofiwa movement inayofuata ni ya kuondosha utawala wa Misri wa Sisi. Movement hiyo ni January 25 Revolutionaries Movement. Je, hawa wapiganaji watafanikiwa ? https://x.com/BroderickM_/status/1878204005450690640?t=mV3t7TJCfbPpIy2Ta18SXw&s=19...
  5. Komeo Lachuma

    Egypt: Hii siyo sawa kuwafanyia ndugu zenu. Kuna nini Kinaendelea hapa?

    Nimeshangaa Egypt haitaki kabisa kuwa msaada kwa wanaGaza ili wapate mapumziko. Unaona huu ukuta. Unaweza sema Trump katili sana kajenga huu ukuta kuzuia wapalestine wasiingie USA. Unakuja kuambiwa ni ndugu wa Damu. Hakuna anayewataka Wapalestine. Sijui kwa nini. Huu mpaka wa Egypt na Gaza
  6. I

    Egypt imepinga vikali makubaliano ya usimamizi wa Mto Nile

    Hivi karibuni nchi 6 kati ya 11 zilizopo katika Bonde la Mto Nile ziliidhinisha itifaki ya usimamizi wa Mto Nile. Nchi hizo ni Tanzania, Burundi, Rwanda Uganda, Sudan ya Kusini na Ethiopia. Waziri wa Maji wa Egypt amesema nchi yake haitakubali kupoteza hata mita ya ujazo ya maji ya Mto Nile...
  7. Webabu

    Iran yakubali ombi la US na Egypt kutoishambulia Israel ili vita visimamishwe

    Nchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi kutokana na kuuliwa kwa Ismail Haniye. Miongoni mwa nchi zenye hofu zaidi ya vita hivyo na kwa maslahi...
  8. FaizaFoxy

    Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

    Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman. Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za...
  9. davyventure the great

    Udhamini wa masomo Misri kwa Kozi ya Udaktari (MD)

    Wakuu habari zenu naona ajira portal wametoa tangazo la udhamini wa masomo Egypt kwa kozi ya Udaktari (MD) ambapo mwisho wa maombi ni tarehe 5 August. wenye Uzoefu naomba experience ya jinsi ya kuomba hizo sponsorship hili vijana waweze kunufaika. Natanguliza shukran wakuu 🙏🙏
  10. Its Pancho

    Ligi ya Egypt ni ligi ya ovyo na ya kihuni sana pamoja na CAF

    Wakuu Ligi ya Egypt inasifika kuwa namba moja Africa lakini kwa upuuzi wao na uhuni kila mwaka wanaofanya, Kwanini isiitwe ya kihuni na kisela? Si afadhali hata ya huku Bongo wajameni? Hebu tuone Zamalek waligoma kucheza Derby yao na ahly ahly mpaka pale ahly ahly watakapomaliza viporo vyao...
  11. Pdidy

    Hamas yakubali pendekezo la kusitisha mapigano, wananchi wa Rifah washangilia

    Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu. Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa tuseme imetosha waliobakia waendelee na maisha ila adabu wamekipata walichokitafuta. ====== Kiongozi...
  12. M

    Mayele asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga huko Egypt

    Nimesoma sehemu kuwa Fiston Mayele atakwenda kwenye Kambi ya Yanga huko Egypt. Kwa ushauri wangu nadhani asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga kwasababu ni dhahiri yupo tayari kuihuju timu. Natoa sababu zifuatazo 1. Mchezaji huyo kwasasa ana mgogoro na Mashabiki wa Yanga. 2. Hakuna...
  13. A

    Matatizo ya Mikopo yaiweka pabaya Misri

    UAE in talks to buy Egypt coastline for $22bn The United Arab Emirates has expressed an interest in buying the Ras El Hekma area on Egypt’s northern coast as a form of economic support for Cairo, Egyptian newspapers have reported. The privately-owned Egyptian newspaper Al Mal stated on Sunday...
  14. M

    Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

    Sasa BRICS itakuwa na wanachama 11 wenye sifa zifuatazo ● BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani. ● BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80% ya oil reserve duniani. ● BRICS itakuwa na mataifa yenye jumla ya GDP $30.76 trillion. Asilimia...
  15. Zulu Man Tz

    The Rise and Fall of Ancient Egypt: Tracing its Enduring Legacy in Western Civilization

    Alexander The Great harakati za kutawala Ulimwengu. Ili uweze kufahamu zaidi ni jinsi gani Alkebulan (Bara la Afrika ya sasa) ilivamiwa na Wakoloni inakupasa kujua historia ya Mfalme Alexander The Great(Mgiriki) na siasa zake za kumiliki himaya mbalimbali Afrika na Asia. Historia ya Alexander...
  16. B

    Rais Samia awasili mkutano wa COP27 Sharm El Sheikh Egypt 2022

    07 November 2022 Sharm El Sheikh, Egypt MKUTANO WA COP27 SHARM EL SHEIKH EGYPT 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan pamoja na wakuu wengi wa nchi wapo kuhudhuria Mkutano wa 27 wa nchi wanachama wa mkataba wa Kimataifa wa tabianchi COP27 mwaka huu 2022...
  17. Sol de Mayo

    Egypt and Niger, aise sijawahi kukutana na hili katika maisha yangu ya soka

    Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0 Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
  18. Diversity

    SI KWELI Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania

    Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania. Kuna ukweli hapa?
  19. ward41

    Amazing Egypt

    This is now the tallest building in Africa. It's in Egypt, with 394m and 80 floors. Africa is rising
  20. Tz boy 4tino

    Ethiopia 2 Vs Egypt 0; Tanzania tuna safari ndefu sana kwenye soka

    Kwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt. Hii mechi ina uhusiano gani na Tanzania? Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa kisoka. Lakini katika mechi hii ukiangalia unaona namna wachezaji wanavyojituma pamoja na kukutana na...
Back
Top Bottom