Hapa tunasema kuwa mama anaupiga mwingi. Kwa kimombo ni diagonal balls.
Sasa kampuni ya Elsewedy Electrical itakuja kuwekeza nchini na kujenga Industrial park kubwa yenye ukubwa wa Sq metre milioni mbili.
Kwa uwekezaji huu ajira na ujuzi utalifaidisha taifa letu.
Ama kwa hakika, mama anaupiga...
BILL COUNTER MACHINE*
MASHINE YA KUHESABIA HELA
🔺Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services
🔺Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia hii mashine ya kuhesabia hela ili uweze kuwahudumia wateja wako kwa haraka na ufanisi mkubwa
🔺Mawakala wa...
Teknologia imeongezeka kwa sasa hivi watu wanatumia pikipiki za umeme na magari ya umeme, kwa sheria za tanzania hivyo sio vyombo vya moto hivyo havina bima wala hahutaji leseni kuviendesha ni kama unaendesha baiskeli au guta au mkokoteni wa ngombe, pia hamna kuingia sheli kunywa mafuta ukifika...
Kenya Mpya Bus Company, which is touted as among Nairobi largest Matatu operators, is preparing to rollout the city's first ever electric matatu.
Brian Chege, whose company Meta Electric was contracted by Kenya Mpya to map out the plan, revealed that the test targeted Thika Road.
While...
Nauza motor za umeme ni mpya kabisa toka kampuni ya maarufu sana ya vifaa vya umeme ya ABB , bei ni sh 400000 kila moja . Kwa anaehitaji piga simu 0712652110 DAR, Angalia label ya kibati cha silver kwa maelezo zaidi ya motor
Habari wanajamvi, nimetokea kuwa na interest na maswala ya umeme hasa huu wa nyumbani, natamani nijue jinsi unavyofanya kazi na jinsi navyoweza kuunga nyaya(kufanya wiring) kuanzia jinsi umeme unavyoingia kwenye mita na unavyoendelea mbele.
Nataka niwe expert ili nami nianze kufanya wiring...
Kampuni ya Apple ina mpango wa kuingia ubia na Kampuni ya Hyundai ya South Korea. Kuanza kutengeneza magari ya umeme yanayojiendesha bila dereva.
Lakini Apple pia bado ipo kwenye mazungumzo na makampuni mengine ya magari jinsi inaweza kuingia ubia nao!
Hii ni big blow kwa kampuni kubwa ya...
Electric taxis — a welcome drop in Nairobi's pool of emissions
An electric taxi can travel 150 kilometers on full charge. As the Kenyan capital struggles with air pollution, electric taxis are an opportunity for cleaner transport and also a way to make money.
Launched in Kenya in August 2018...
Nopia electric Taxis at a charging station | PHOTO COURTESY
As the world moves towards greener infrastructure, electric and hybrid cars have started gaining traction in Kenya – By Gerald Gekara.
Power generator KenGen has announced its investment on electric car charging systems to increase...
Fryer nzuri na imara za gas pamoja na umeme, fryer za gas zina kibiriti chake Bei:double gas fryer 325,000Tsh Double electric fryer:220,000Tsh Single electric fryer:130,000Tsh
Single gas fryer:220,000tsh
Free delivery ukiwa Dar es Salaam
Piga 0788622610
TUPO KKOO MTAA WA MASASI/NDANDA
Call/whatsapp 0788622610
Offer offer bei 195,000 tu
Oven mpya ya umeme ya kisasa
Ina plates 2 juu za kupikia chochote
Ina ujazo lita 48
Ina grill pamoja na kuchoma mikate, cake, nyama, kuku etc
Ina timer
Ina warranty mwaka mmoja
Location: DSM
*DOT MACHINERY PRODUCTS*
TUNAUZA MACHINE ZA UJENZI|VIWANDANI|MAJUMBANI|KILIMO|USAFI|
CAR WASH MASHINE INAYOTUMIA DIESEL-2.5M
BOTTLE JACK KUANZIA 100,000/= - 300,000/=
MASHINE YA KUPUKUCHULIA MAHINDI-YA UMEME 1.2M
YA DIESEL 1M
JACK YA KUBEBEA MIZIGO KUANZIA 2.9M-3.7M
GENERATOR YA 6.5KW,YA...
Salamu kwenu wote.
Nahitaji kununua Electricity Inverter yenye capacity ya 3000 watts yenye uwezo wa kuconvert dc 24volts to ac 240 volts.
Kwa yeyote mwenye nayo au mwenye kujua wapi naweza kupata naomba tuwasiliane kwa PM.
Wasalaam,
Mwenzetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.