Habari wapendwa,
Kwa majina naitwa EMMANUEL NESTORY SAGINI, ni mzaliwa wa songea manispaa pia ni muhitimu wa elimu ya ufundi stadi katika fani ya umeme wa majumba na viwanda, ngazi ya tatu ya cheti level three(III) 2023.
Lengo la kuandika makala hii ni kuhitaji kufahamu je ni vitu gani...
Afya ya akili
kuongeza utulivu wa kihisia - Simu zinachangia sana kutibua hisia, upo whatsapp / instagram mara unakutana na status za watu mnaojuana wametoboa huku wewe unajitafuta, wameoa / kuolewa wewe bado, timu yako imefungwa inataniwa, kuna sherehe imefanyika hujaalikwa, n.k.
Kuongeza...
Mimi (Me)- fresh graduate, course husika hapo juu, Kwasasa nafanya kama kibarua kwenye kampuni Fulani ya telecom ambayo nimekuwa Kwa muda wa miezi 6.
Expertise zangu
Kwa standards za Huawei ( ISDP, WebICT)
Naomba mtu mwenye uwezo wa kunisaidia kupata internship/kazi ya uhakika hata...
Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi ambazo tunauziwa kwa Gharama Kubwa hapa Uganda bado ni Feki pia.
Haya Mangwena ( Wabobezi ) wa Uchumi...
Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi
Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive.
Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu...
Angalia hii picha unaona bado watu wananunua tiketi sasa nashangaa sababu tuliambiwa ni sold out na mimi niliuamin uongozi wa simba kwa asilimia 100 sasa nimepita lampard electronics nimeshangaa kuona msururu wa watu wakiwa bado wananunua tiketi
Habari wapendwa karibuni TV Aina za Hisense mpya.
32 (kawaida) 370,000
32 (Smart) 450,000
40 (kawaida) 560,000
40 (Smart) 595,000
43 (kawaida) 635,000
43 (Smart) 675,000
Sound bar zpo za Aina zote
Fridge
Sabufa Aina zote bei kwanzia 90000 nakuendelea
Washing machine zpo 110,000
Pazia nzito 2...
Tunaona kuna wabunifu walishatokea ambao hawakuwa na elimu ya kutosha kuweza kuendeleza vipaji vyao.
Hii italeta maendeleo makubwa sana kwa Elimu ya ufundi upande wa Engineering.
Endapo kama serikali itafanya mabadiliko kwenye Elimu ya mafunzo ya ufundi wa Electrical Installation, Electronics...
Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam?
Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini naweza nunua Zanzibar kwa bei nzuri kuliko Dar. Ukiacha tende, ubuyu na halua.
Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories.
Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china na huku bongo.
Mfano hapo glass protector ni Usd 0.01 napo zingine ni mpaka Usd 0.15 sawa na...
"Hivi ni kweli Zanzibar ina Unafuu wa vifaa vya Kielectroniki?
Na vipi kuhusu gharama za kusafirisha bidhaa?"
Ni swali ambalo wengi wamekua wakijiuliza kuhusu unafuu wa bidhaa pamoja na gharama za usafirishaji wa vifaa vya Kielectroniki kutoka Zanzibar kwenda Tanzania Bara.
Kwa hili, Naomba...
Wakuu habari ya nyie, kuna hiki ki redio nimeombwa msaada hapa kukirekebisha, kina shida moja.
Waya ule wa speaker vile vidogo (Sijui ndo wanaviita twitter), pale kwenye ki tobo unapoingia kimekufa, sasa nafikilia hivi inawezakana nikauchukua na kuunga kwenye ule mwingine, tobo lililokufa ni...
Mimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme.
Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo mazuri ya kuchukulia mzigo Kwa dar, na location ya office za usafirishaji).
Kwa anaye jua A to Z juu...
Wafanyabiashara wa electronics wanapitia changamoto kubwa ya bidhaa zao kutouzika kwa haraka kwasababu ya thamani kubwa ya bidhaa hizo mfano Refrigerator, Tv, Cooker, Washing Machine za kuanzia 1M -5M...
Bidhaa za thamani hii kwa mkoa wa Dar es Salaam zinauzika kwa kasi ya chini sana na...
Habari wataalamu wa biashara!
Nina wazo la kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme pamoja na vyombo vya umeme. Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu anipe mwongozo Kwa upande wa faida na changamoto za hii biashara!
Nipo Kagera- Biharamulo
Naomba kuwasilisha madam!
Habari za majukumu waheshimiwa👋
naamini mko salama...
Ndugu yenu hapa, kwenye moja na mbili za utafutaji nimekusanya Tsh. 5,000,000/=
Kilichonileta hapa ni kupata ushauri kwa wenye uzoefu kidogo kwenye uchaguzi wa biashara ya kuingia kati ya hizi.
1. Spea za pikipiki (coz nina uzoefu kwenye...
Habari za kwenu,
Wale wadau wenye project za Electronics pia na za telecommunication
Hata It ambazo hazijaendelezwa kwa sababu mbalimbal n pm ukitaja project title yako na approximately cost ya project then tutawasiliana..
Tahadhari usishushe data nyingi hii za technically,,,pia nipo busy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.