electronics

  1. Jamii Opportunities

    13 Job Vacancies at the Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA)

    13 Job Vacancies at the Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA). The Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) is a Government Agency established in 2005 to provide engineering services in Electrical, Mechanical and Electronics...
  2. EL ELYON

    SITTA ELECTRONICS

    Pata huduma hapa
  3. ILULA HILLS

    Natoa Donation ya Electronics Programming Kit, PIC controllers, lot of sensors, Display Units, yani complete kit ya kufanya uwe na lab chumbani kwak

    Miaka 12 iliyopita nikiwa nakaribia maliza chuo nlinunua vifaa kadhaa vya kuniwezesha kufanya final graduate project, pia kuanzisha electronics lab nyumbani. Mipango ilikuwa mingi na ndoto zilikuwa kubwa, nlitegemea ningeishi kwa lab baada ya kumaliza chuo, yani lab ingekuwa biashara kwangu...
  4. deemax11

    Aliesoma Short Course za VETA anaruhusiwa kuendelea vyuoni

    Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama certificate na diploma? Naombeni majibu wakuu
  5. Fifteen

    Electronics engineering

    Habari wakuu Nimechaguliwa electronics eng udsm ngaz ya bachelor naomba kujua hii course imekaaje maana vyuo vingne naona wamechanganya na course zngne kama tele na electrical Pia napenda kujua soko lake
  6. hp4510

    Msaada Kwa wataalam wa Electronics

    Nina sacket zangu za kutoka kwenye fuso super great ambazo zimeungua na kusababisha gari kukosa nguvu Naitaji msaada kama mtu anaweza kuzifix au kuzifanyia utundu wowote mpaka ziwe okay
  7. M

    Electronics repairing service

    Habari za kazi wakuu, Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, Ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia...
  8. J

    Jinsi ya kulinda kifaa chako cha elektroniki

    ZINGATIA: Zima 'Wi-Fi' na 'Bluetooth' wakati unapokuwa hutumii. Kufanya hivyo itakusaidia kutounganishwa na mitandao isiyo salama pamoja na kutunza chaji kwenye kifaa chako cha elektroniki
  9. EJOSMAT

    INAUZWA Vifaa vya electronics vinauzwa

    Printer hp 7500 a wide format------laki 3 Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu Sigma lense 170-500----------------laki 4 Studio light na background yake laki 4 Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0717 040 837 au 0767 267 664
  10. Mac Bully 001

    Uhuru Launches One of a Kind Technology Factory in Nyeri

    President Uhuru Kenyatta on April 26, 2021, opened the Semi-Conductors Technologies (STL) factory on the 177-acre Dedan Kimathi University of Technology's Science and Technology Park (DeST-Park). The factory will manufacture integrated circuits and sensors as raw materials in the electronic...
  11. Zuia Sayayi

    Aina gani ya friji ni nzuri?

    Habari zenu wana Jamvi, naombeni ushauri juu ya hizi fridge zilizopo madukani, ni aina gani ya fridge ni nzuri na inayodum mda mrefu, na ni kitu gani cha kuzingatia wakati wa kununua hizi fridge, maana nmeona kampuni nyingi sana kwa sasa zikiwa zinauza hizi bidhaa. Mfano, jana nmetaka kununua...
Back
Top Bottom