elibariki emmanuel kingu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kingu: Kusema Watanzania milioni 60 kutibiwa Zanzibar ni kumdhalilisha Rais Samia na kudharau juhudi zake

    Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Emmanuel Kingu, amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nchini, hatua inayofanya huduma za tiba kuboreshwa kwa kiasi kikubwa katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Bara na Visiwani. Kingu ameeleza kuwa ni jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…