Habari,
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter, Mwanafunzi wa Mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) nasomea Historia na sayansi ya siasa, namba yangu ya usajili 2021-04-01016
Siku za karibuni nimekuwa active katika harakati za chuo hasa kupigania maslahi ya wanafunzi waliozuiliwa kuingia...