elimu chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Foffana

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa wimbi la wanafunzi kufanya udanganyifu kwenye mitihani vyuoni?

    Habari zenu Wadau wa JamiiForums Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la wanafunzi nyakati za mitihani kuingia na simu za mkononi katika chumba cha mtihani. Hizo simu zinawasaidia kujibu maswali watakayoulizwa katika mtihani huo. Unaweza ukakuta robo ya watahiniwa wameingia na simu chumba cha...
  2. Soul21

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba serikali haijui inataka nini kwenye elimu?

    Nyerere aliwahi kusema kuwa elimu ya msingi lazima ijikamilishe akimaanisha kuwa mwanafunzi akimaliza pale lazima awe na ujuzi unaotakiwa. Pia alisema elimu ya sekondari isiwe bomba la kupitishia watu kwenda vyuo vikuu bali lazima pia itoe maarifa toshelevu. Sasa Kauli ya waziri mkuu juu wa...
  3. msukule mzembe

    JamiiForums Tanzania Anayejua namna ya kuomba scholarship anisaidie

    Binafsi nina mdogo wangu anemaliza kidato cha sita ana ufaulu wa 1.5 PCB Embu anaejua jinsi ya ku apply anielekeze
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mngetumia nguvu za kuwapangia wanafunzi jinsi ya kutumia boom lao kuhakikisha wanaostahili wanapata mkopo 100% (au kusoma bure) tungewaona wa maana

    Salaam Wakuu, Nianze kuwatwanga maswali, hivi, enzi zenu ninyi wazee mlipokuwa mnatumia boon kusaidia familia zenu nani aliwaingilia huko? Mlipokuwa mnatumia boom kuwalipia wadogo zenu ada na kuwasaidia pesa za kujimu ili nao waweze pata elimu kama wewe kuna aliyewaingilia kwenye matumizi yenu...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jesca Msambatavangu: Wanafunzi wanatumia Boom Kubeti badala ya Kusoma. Serikali itafute utaratibu mpya wa kuwakopesha

    Mbunge wa Iringa Mjini Madam Jesca Mtambasavangu bila kumung'unya maneno ameshutumu vikali tabia ya wanavyuo kutumia Fedha za Mkopo wa Kujikimu Boom kubeti badala ya kusoma na kutumia Kwa malengo yaliyokusudiwa. Akiongea Bungeni Kwa Uchumi amewashangaa Vijana wanaodhani betting itawatoa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiukwaji wa Haki za wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

    Habari, Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter, Mwanafunzi wa Mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) nasomea Historia na sayansi ya siasa, namba yangu ya usajili 2021-04-01016 Siku za karibuni nimekuwa active katika harakati za chuo hasa kupigania maslahi ya wanafunzi waliozuiliwa kuingia...
Back
Top Bottom