Nini kifanyike kuondoa wimbi la wanafunzi kufanya udanganyifu kwenye mitihani vyuoni?

Nini kifanyike kuondoa wimbi la wanafunzi kufanya udanganyifu kwenye mitihani vyuoni?

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
3,240
Reaction score
5,625
Habari zenu Wadau wa JamiiForums

Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la wanafunzi nyakati za mitihani kuingia na simu za mkononi katika chumba cha mtihani. Hizo simu zinawasaidia kujibu maswali watakayoulizwa katika mtihani huo.

Unaweza ukakuta robo ya watahiniwa wameingia na simu chumba cha mtihani. Hili swala nì baya sana lakini naona limeshamiri katika vyuo vingi!

Siku hizi hata vyuo vikubwa nchini hii tabia ipo, je, nini kifanyike kupambana na hili jambo?

Teacher Foffana
 
Habari zenu Wadau wa Jambo Forums

Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la wanafunzi nyakati za mitihani kuingia na simu ya mkononi katika chumba cha mtihani

Hizo simu zinawasaidia kujibu maswali watakayoulizwa katika mtihani huo

Unaweza ukakuta robo ya watahiniwa wameingia na simu chumba cha mtihani.Hili swala nì baya sana lakini naona limeshamiri sana vyuo vingi

Siku hizi mpaka Jalalani USDM hii tabia imeshamiri sana, Je nini kifanyike kupambana na hili jambo

Teacher Foffana
Camera ndio suluhisho.
 
Wewe huna simu? Kama unayo fanya kama wenzako.

Elimu yetu siyo ya kukielewa kwa ufasaha tunachokisoma bali kufaulu na/au kupata cheti kwa njia yoyote ile ikiwemo kuibia au kukariri.

Ndiyo maana graduates wengi wa vyuo vyetu na hata wa mashuleni ni "weupe" kabisa.

Swala la msingi sasa siyo kuyaelezea mapungufu ya elimu yetu tu bali pia kujua tumefikaje hapa (wanafunzi kuibia na/au kukaririshwa) na tutatokaje kwenye janga hilo.
 
Watu maskini atupendani kwakweli yaani tunachukiana masikini aliebahatika kuukwepa ufukara ataki wenzie nao waukwepe kama alivyokwepa yeye (UMO VYUONA HAO MA PRO NA WAHADHILI WOTE WAMEFANYA UDANGANYIFU ADI WAMEFIKA APO KUFUNDISHA MASIKIKINI WENZAO)
 
Back
Top Bottom