Habari zenu Wadau wa JamiiForums
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la wanafunzi nyakati za mitihani kuingia na simu za mkononi katika chumba cha mtihani. Hizo simu zinawasaidia kujibu maswali watakayoulizwa katika mtihani huo.
Unaweza ukakuta robo ya watahiniwa wameingia na simu chumba cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.