Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
- Thread starter
- #21
Sahihi đź’ŻUshauli wangu mfumo wetu wa elimu ufumuliwe utoke kwenye kutafuta vyeti na ufaulu ili kuajiliwa na twendende kwenye mtu kua na uelewa,ubunifu na stadi za maisha ya kujikimu nje na ivyo kila mtu ataendelea kujipatia vyeti tu kwa njia atakayoijua