Hizi fluids tatu zinanichanganya sana matumizi yake.
Normal Saline ninachojua inatumika kwa mtu aliyepata dehydration au vomiting, kwa hiyo wanampa ili ku replace zile electrolytes zilizopotea. Concentration yake hatakiwi kupewa mama mjamzito au mwenye high BP.
Ringer Lactate nayo kama NS...