Habari za muda wanaJF,
Mimi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu 2024, matokeo yangu kiufupi yalikua kama ufuatavyo.
Chemistry - E
Bio - E
Geography - D
BAM - E
G.S - D
Sema kweli matokeo yangu hayakua mazuri kwa ujumla.
Bila kusita nilifanya application za vyuo kwa level mbili zote...